Sio kweli, ts an assumption
Niko pamoja na wewe mkuutangu zaman iman ya babu na wazee wetu waliamin kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu na hvyo ni rahsi kushawishka au hata kuangukia ktk maovu ndio maana hata mashetan huwaingia zaidi wanawake, hata ng'ombe hamuogopi mwanamke.... Kwahyo ile mikos ya mashetan inaweza kupitia kwa mwanamke kumwingia mwanamme...... Ni mtazamo tu lakin
Hata nyani hamuogopi mwanamke sijui ndo humohumo ?Niko pamoja na wewe mkuu
Ndio uzuri wa kuwepo kwenye wengi kwa kweli tunajifunza mambo tofauti tofauti ambayo huyapati darasani
Nashukuru sana kwa darasa na kama kuna nyongeza wewe ongezea mkuu
sheria kandamizi na mfumo dume usishangae hata mtoto akifanya kosa anaambiwa kachukua akili za mamaake...!!!
Hapa kwenye mjadala huu sitapingana wala kubishana na yeyote sababu najifunza kutoka kwa michango tofauti tofautiUonevu tuu na mfumo dume kutawala
Hii ni kweli. Niliitwaga intavyuu ya kazi mkoa flani nilijianda vya kutosha, Nilivyokua hotelini nikaona kulala peke yangu soo. Nikatafuta demu nikalala naye hadi monie, nikaenda intavyuu room, Maswali ya kawaida tu yaloulizwa lakini yalinishinda asee. Nikakosa na kazi yenyewe.
Ni assumption kweli ila ukiichukulia na positive attitude kweli ina effect....
"Nshawahi gegeda halafu nikaamkia kwa paper... paper ilikuwa ya kawaida saaana but nili supp" sasa sijui ni lucky ya mtu?
Hii ni kweli. Niliitwaga intavyuu ya kazi mkoa flani nilijianda vya kutosha, Nilivyokua hotelini nikaona kulala peke yangu soo. Nikatafuta demu nikalala naye hadi monie, nikaenda intavyuu room, Maswali ya kawaida tu yaloulizwa lakini yalinishinda asee. Nikakosa na kazi yenyewe.
Jamani hata haya nayo unahitaji notes? Its obvious ukilala na mwanamke kabla ya mambo haya muhimu utakuwa umepungukiwa nguvu kidogo. Hata wachezaji wakishaweka kambi ya mashindano fulani huwa wanazuiwa sex kwa sababu nguvu zao zinahitajika sana. Watu wa zamani walijua hizo habari ndo maana wakawa wanasema ni gundu ili wanaume wasifanye hivyo
Ni assumption kweli ila ukiichukulia na positive attitude kweli ina effect....
"Nshawahi gegeda halafu nikaamkia kwa paper... paper ilikuwa ya kawaida saaana but nili supp" sasa sijui ni lucky ya mtu?
Hio imani tu..mimi semesta ya pili mwaka wa kwanza nimekuwa nalala, kupika na kupakua na mwanamke mpaka mwaka wa nne na tumemaliza wote na mapembe.
hahahha yani a night b4 UE badala ya kukaa unasoma na kudiscuss umeenda kupata 'hapiness by the body' huoni ndo chanzo cha ku-supp...???hukusoma usilaumu kulala na a woman
Ni imani ya kikale isiyo na ithibati kisayansi kuwa
usiku wa kwenda vitani usilale na mwanamke
Siku ya kwenda kuwinda kurina au kuvua usilale na mwanamke
Kwamba kuna wanawake mlango wa 8 ukimuoa kila kitu kinapukutika
Kwamba ukipata balaa lolote unaulizwa kwani jana ulilala nanani ?
Kwamba mashetani majini na mizimu hupendelea kuweka makazi yao milini mwa wanawake hivyo kuwafanya wawe na nuksi au gundu
Nikitafakari haya yote na mengine pia naona mwanamke anabebeshwa mizigo mingi na mizito asiyostahili kubeba
hayo yanahitaji uwe na nguvu...wala hakuna uchawi hapo. Ukilala na mwanamke unaishiwa nguvu unapoamka unakuwa na hali ya udhaifu. hata wachezaji wa mpira huzuiwa kufanya mapenzi angalau siku moja kabla ya mechi.
hii ina ukweli mazee! Asiekubali ajaribu kulala na demu siku unakwenda kwny interview ya job