Gulf box

Gulf box

Izzo G

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
414
Reaction score
62
wadau nina receiver yang ya gulf box remote yake iliharibka ikashndkana kutengenezeka, nimejaribu kutafuta remote maduka yote ya morogoro nimeikosa wanadai remote yake haipatikani. tatizo ni moja tu channel zote zina sauti kasoro itv,channel 5 na capital ambapo kama ningekuwa na remote ningeweza change audio left or right or sterio je kuna yeyote anayeweza kunipa njia ya kufanya kupata sauti ya hzo channel pasipo na remote. nawasilisha
 
Jaribu kutafuta remote ya mediacom au eurostar hizi mara nyingi huwa zinaingiliana na Gulf star!
 
wadau nina receiver yang ya gulf box remote yake iliharibka ikashndkana kutengenezeka, nimejaribu kutafuta remote maduka yote ya morogoro nimeikosa wanadai remote yake haipatikani. tatizo ni moja tu channel zote zina sauti kasoro itv,channel 5 na capital ambapo kama ningekuwa na remote ningeweza change audio left or right or sterio je kuna yeyote anayeweza kunipa njia ya kufanya kupata sauti ya hzo channel pasipo na remote. nawasilisha

We badilisha zile waya mbili nyeupe na nyekundu ulizochomeka kwenye tv zinazotoka kwenye risiva,yaani nyekundu ichomeke kwenye nyeupe kwenye tv na nyeupe ichomeke ichomeke kwenye nyekundu hapo naamini kabisa sauti itatoka
 
nimejaribu kaka lakini.imegoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom