Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 176,483 Reaction score 194,365 Mar 19, 2022 #121 Ahsante kwa taarifa...
2019 JF-Expert Member Joined Dec 31, 2018 Posts 3,226 Reaction score 4,919 Mar 19, 2022 #122 Chen Hu said: Nilikunywa nikajisikia vibaya sana. Hali kama hiyo ilinipata nilipokunywa alkasus, kahawa na majani ya fulani ya chai yapo kwenye kopo. Kwa sasa najipigia tu safari kubwa. Click to expand... 👏👏👏Mimi nimeacha alkasus kwa sababu hiyo. Alkasus nyingi wanachanganya sana
Chen Hu said: Nilikunywa nikajisikia vibaya sana. Hali kama hiyo ilinipata nilipokunywa alkasus, kahawa na majani ya fulani ya chai yapo kwenye kopo. Kwa sasa najipigia tu safari kubwa. Click to expand... 👏👏👏Mimi nimeacha alkasus kwa sababu hiyo. Alkasus nyingi wanachanganya sana
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,412 Reaction score 191,569 Mar 19, 2022 #123 2019 said: Ushaonja ile Original yake? Hiyo smooth utaiona uchafu tu Click to expand... Ile original ni aloe vera iliochangamshwa
2019 said: Ushaonja ile Original yake? Hiyo smooth utaiona uchafu tu Click to expand... Ile original ni aloe vera iliochangamshwa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 176,483 Reaction score 194,365 Mar 19, 2022 #124 Yna2 said: Siijui..sijawahi kunywa chochote zaidi ya maji..juice or soda Click to expand... Huwezi kuyajua haya makitu hujawahi kunywa chochote zaidi ya maji na mate...
Yna2 said: Siijui..sijawahi kunywa chochote zaidi ya maji..juice or soda Click to expand... Huwezi kuyajua haya makitu hujawahi kunywa chochote zaidi ya maji na mate...