Mallia
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 437
- 1,576
Hii bia ni taam kweli kweli wakuu sijui imechanganywa na nini
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Nasikia mwaka huu umeokokaHio bia tamu sana nimeinywa sana last year

Nimempokea Yesu mkuuNasikia mwaka huu umeokoka![]()
Hii kitu ina utam wa aina yakeHaina uchungu kabisa wa ile Guinness nyingine?
Haha mambo ya serengeti nyeusiUkikata gogo asubuhi jeusii hii,ila katamu
AminaNimempokea Yesu mkuu

SanaaaUkitoka hapo unaenda pigwa miti yakutosha.
Miti mema
Ladha yake kama kumbusu Mwanamke
Usifananishe mbususu na vitu vya ajabu mkuuLadha yake kama kumbusu Mwanamke