Nilikua naitafuta comment ya aina hii, umemaliza.










Rubisi na amalwa anga nomurambaAcha kufananisha rubisi na ujinga. Tangu lini ukakutana na mtu kalewa rubisi.
Mimi pombe zote sinywi ila hiyo liquid napiga ikiwa freshly prepared. Na haisafirishwi kwamba utakutana na mtu Mbagala anainywa.
Buku mbili Jero. Halafu haina hangoverInauzwaje
Milk Stout ni Castle sio Guinessile milk stout ni babkubwa sanaaa
Ohooo k vant inafanyaje mkuu???K vant ita ku disconnect huko chin mkuu