Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,519
- 7,287
mi kila asubuhi pale akilli yangu inapotulia,kwamba kwanini huyu muh. rais kikwete asiwekwe kwenye kile kitabu cha rekodi mbalimbali za duniani wakati yeye pekee ndio kaziweka???jamani naombeni jibu ni kwa nini haingizwi kule kwani tunajua haya yafuatayo hamna rais yeyote aliweka hizi rekodi....naanza:
1. KIKWETE NDIO RAIS WA KWANZA DUNIANI KUDANGANYWA VIBAYA MNO NA WASIMAMIZI WAKE WAKUBWA SERIKALINI
mf: a/ ufunguzi wa daraja la msumbiji wakati halijakamilika,yeye kadanganywa limeisha na kufungua kumbe ni changa la macho,kafungua tena mara ya pili ile juzijuzi
b/ ufunguzi wa ile bus stand(sina uhakika ni shinyanga au singida) iliyozungushiwa magunia na yeye kikwete akakata utepe wa kuifungua kumbe ilikuwa hata robo haijaisha kukamilika
c/ makabidhiano ya magari ya wagonjwa kwa wakurugenzi wa wilaya falni pale ikulu
d/ufunguzi wa ile hotel flani na kesho ya kubomolewa
e/ile check iliyoandikwa milion 3 tarakimu wakati maneno yameandikwa milioni 2..huu ni ufinyu sana
f/ zile kadi 360 za chadema alizokabidhiwa kwenye kampeni zake akadanganywa kwamba chadema wamehamia ccm
g/ kadanganywa kwamba BASHE sio raia na kumvua madaraka yote aliyonayo ndani ya chama wakati ni raia halali wa tz
h/ alidanganywa umri na masauni yule m/kiti wa UVCCM na baadae kuvuliwa madaraka
i/ alidanganywa na shekhe yahaya mtabiri kwamba yeyote atayeshindana na kikwete kwenye kugombea uraisi atakufa....heeeee kullikoni mtabiri na ullnzi hewa usioonekana tena?
j/ kadanganywa na madaktari wake kwamba haumwi wakati kila kukicha anadondoka dondoka tu...heeee ye mwenyewe hajishangai??
hembu ongezeeni nyingine wazee
2. KIKWETE NDIO RAIS WA KWANZA DUNIANI KUWA NA REKODI YA KUANGUKA ANGUKA MBELE YA KADAMNASI
3. KIKWETE NDIO RAISI WA KWANZA DUNIANI KUFANYA SAFARI NYINGI ZA NJE YA NCHI NDANI YA MWAKA MMOJA TANGU AINGIE MADARAKANI
4. KIKWETE NDIO RAISI WA KWANZA DUNIANI KUTAMKA HADHARANI KWAMBA HAJUI UMASKINI WA WATU WAKE (WATZ) UNATOKANA NA NINI
5. KIKWETE NDIO RAISI WA KWANZA DUNIANI AKIWA KAMA MWENYEKITI WA CHAMA TAWALA KUPIGWA BITI NA KATIBU WAKE BILA VIKAO VYOYOTE ASIHUDHURIE MIDAHALO YOYOTE ITAKAYOFANYIKA KUSAKA MGOMBEA BORA KWA WANANCHI
6. RAISI WA KWANZA DUNIANI KUCHAKACHULIWA MAFUTA KWENYE GARI YAKE IKAZIMA BARABARANI:eyebrows:
JAMANI REKODZ NI NYINGI MWENYE NAZO AZIWEKE ILI TUFANYE UTARATIBU WA KUMUINGIZA KWEYE KALE KAJITABU CHA GUINESS............NAWAKILISHA!!!!:eyebrows::fencing::A S thumbs_down: