Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,436
- 4,646
Wewe na genge lenu ndo wasaliti wa nchi hii.Mtaongea lugha zote ila msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Tanzania hatutaki ushoga,
Pengine si wasaliti bali ni majasusi , tutawang'amua siku moja.