GUINEA: Kila ukifiwa unakatwa kidole kimoja

Jamii yote watakuwa "vipumpusu" [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wale ambao washafiwa na ndugu wengi mwishowe si watamalzia kumkata kichwa tu.. Tamaduni nyingine hizi

Ahsante mungu kuniweka mbali napo, sijui ungenishusha huko ningekuwa na vidole vingap [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Hii ndo ile unamkana hadi ndugu yako msibani
 
Nimejaribu kuipitia inasema wanawake ndio wanakatwa vidole tena kwa hiari ili kuonyesha huzuni kwa marehemu aliekufa na si kushurutishwa
 
Back
Top Bottom