Zipo mpaka za elfu tano mapambano pale zipo gud tu self kuanzia elfu saba mpaka kumi pia kuna lodge pale pale kuanzia elfu 20 tv fen choo ndan raha sana wewe tu sasa ushindwe sheikh

Hahahaha hutaki usumbufu baadae? Unataka zenye double entry au single entry? Unataka ambazo gari unaificha au za kuficha boda boda? Unataka zenye bar nje au zenye makazi ya watu dizaini?