Guest House : Biashara tamu sana

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Wakuu,

Wenye pesa wekezeni kwenye Guest Houses / Lodge or Hotels. Hamtajutia kuweka hela zenu.

Watumiaji wa Guest ni wengi sana :-

1. Wasafiri / Abiria

2. Wake / waume za watu

3. Wanafunzi wa vyuo , secondary nk

4. Watalii

5. Watu wa vikao ,semina

6. Wachepukaji

Mtu akitaka utulivu wa kutulia anaenda Guest or Lodge.

Anayetaka kuiba mke / mme wa mtu huenda Guest or Lodge.

Unapingia unatoa pesa.

Usipoenda hakuna costs za kufua mashuka ,usafi etc.

Ni rahisi kumonitor biashara ya guest kuliko kitu chochote kile.
 
Pia inabaraka tele
 
Back
Top Bottom