Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,270
- 72,466
Hapo amesema ni kikazi...atakujaje kukaa huko DSM mwezi mzima kwa ajili ya kugongana tu??Wewe ulitegemea angekuja hapa aseme anakwenda kugongana?
Hapo amesema ni kikazi...atakujaje kukaa huko DSM mwezi mzima kwa ajili ya kugongana tu??Wewe ulitegemea angekuja hapa aseme anakwenda kugongana?
Basi umeshindaHapo amesema ni kikazi...atakujaje kukaa huko DSM mwezi mzima kwa ajili ya kugongana tu??
Tuwekane sawa tu hatugombani wala kushindana..ni kuwekana sawa tuBasi umeshinda
hahahah buku5 unajinunulia maji ya kuoga, luku utachangia, kunguni na chawa ni zawadi yako achana na uko wewIzo 5000 wapi mazeee
Hata elfu kumi mpaka Saba zipo20,000_30,000 inategemea na eneo ila hata 15,000 unapata
Guest ipi 5000 Riverside?Maeneo ya Riverside vipo vya 5000
Guest ipi 5000 Riverside?
Ofcourse hata ya elfu kumi Na tano zipo Ila hiyo aliyosema 5000 kadanganyaMuongo huyo...
Guest ya bei chee kabisa hapo Riverside ni Pataya Guest house 25,000 kwa siku.
Ndio guest niloenda kumtoa bikra demu Wangu.