Guest au nyumba

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
567
55
Ndugu zangu naomba ushauli nina kiwanja sasa bado sijapata jibu je nijenge nyumba ya kuishi au nijenge mradi wa gest.japo bado naishi kwenye nyumba ya familia.naomba kuwasilisha hoja
 
Kwani ulivyokuwa unakinunua ulituuliza? iweje leo uje kutuuliza matumizi? Jenga mabanda ya nguruwe
 
haat ukujenga guest ni ok cause siku ukikosa pa kuishi utahamia guest i mean even guest ni nyumba! au hulitambui hili.
 
Ndugu zangu naomba ushauli nina kiwanja sasa bado sijapata jibu je nijenge nyumba ya kuishi au nijenge mradi wa gest.japo bado naishi kwenye nyumba ya familia.naomba kuwasilisha hoja
Mithread mingine bwana!! Hicho kiwanja kipo wapi? una shiringi ngapi mfukoni? alafu gest ni nini? aaaaaaagh.
 
Ndugu zangu naomba ushauli nina kiwanja sasa bado sijapata jibu je nijenge nyumba ya kuishi au nijenge mradi wa gest.japo bado naishi kwenye nyumba ya familia.naomba kuwasilisha hoja

Jenga Guest zinalipa sana siku hizi.
Hukosi laki kwa siku watu wanapenda sana kumpunzika
 
Mkuu inategemeana na location ya hicho kiwanja chako. Guest inalipa kwani hatukawii kuja kutenda dhambi humo ila pia kama upo karibu na learning institute jenga hostel. Payback period ya residental house is too long.
 
Asante kwa ushauli wako ila lugha yako sio nzuri je unaweza mshauli ndguyo ushauli kama huo?
Mithread mingine bwana!! Hicho kiwanja kipo wapi? una shiringi ngapi mfukoni? alafu gest ni nini? aaaaaaagh.
 
Tunajenga tunabomoa kama unaona huwezi kunipa ushauli wako pia bado nitashukulu kwani namin ipo siku utanishauli.jamani lugha ambayo haijengi sio nzuri tujalibu kutumia lugha nzuri.HUO NI MTAZAMO WNG
 
Asante kwa ushauli wako japo kipo pembezoni mwa mji ila kwa sasa mji wetu unakuwa mana ni kiwanja cha nne toka barabara kuu.je hapo unaonaje
Mkuu inategemeana na location ya hicho kiwanja chako. Guest inalipa kwani hatukawii kuja kutenda dhambi humo ila pia kama upo karibu na learning institute jenga hostel. Payback period ya residental house is too long.
 
Mkuu,Biashara ya Guest inalipa saanaa.Tatizo ipo karibu sana na DHAMBI,kwani inatumiwa zaidi kama faragha ya Uzinzi wa wenyeji hivyo basi kupoteza dhana nzima ya nyumba ya kulala Wageni .
inakuwa nyumba ya muda mfupi mfupi ya kujifichia wenyeji.na hapo sasa ndipo dhambi inapoanza.kwani unakuwa ume FACILITATE uzinzi na matokeo yake huwa ni ndoa kuvunjika,watoto waliotungiwa gesti na vurugu nyinginezo.

angalizo: Siyo kila gesti ni ficho la wazinzi ,Zipo guest house ambazo ni makini na hazitoi huduma za Fasta Fasta.
Je upo tayari kubeba hizo dhambi kila siku to the next generation?au utalifungia macho na kusema Sambi sote Zao wenyewe
 
Back
Top Bottom