Nyumba ya kuishi au ya biashara/kupangisha

kitoto wa vitoto

JF-Expert Member
Jul 28, 2019
360
386
Wakuu naomba tushauriane hapa
Nina eneo langu Arusha /Moshono siyo mbali na mji

Eneo ni 22 kwa 24 je nijengenyumba ya kuishi au nyumba za kupanga?

NB
Sina nyumba nimepanga

Na je kama ni nyumba za kupanga nijenge katika mfumo gani ili nipate Kodi nyingi zaidi?
 
Gharama za nyumba ya kupangisha huko zikoje??
Wewe unataka kujenga nyumba yenye ubora wa kupangisha bei gani?
Hapo unalipa kodi bei gani??
UShauri kama unaweza kufanya biashara nyingne nje na nyumba ya kupangisha nakushauri fanya
Kwasababu faida ya nyumba ya kupangisha haiwi kubwa sana na siyo ya haraka pia
 
Back
Top Bottom