kununua? Hapa inatoka bure, imeongezeka imekuwa 1000/=
Niko kimjini zaidi best. Hivi jero si inatosha extreme kutwa nzima?Hahaha...best yangu wewe nakukubali sana lol
mheshimiwa Donn, naomba uwaulize hao madada wanao jishaua hivi, ni nani hajawahi kuweka vocha ya jero kwenye simu yake? halafu ndo tuendelee. mia
Niko kimjini zaidi best. Hivi jero si inatosha extreme kutwa nzima?
Mie sijawahi. Unataka kubisha?
Afu ndo nyie mnawapa jero wadada wa watu na kuanza kuwasimanga kuwa wanaomba omba vocha na hawapigi simu?
jero???????
mheshimiwa Donn, naomba uwaulize hao madada wanao jishaua hivi, ni nani hajawahi kuweka vocha ya jero kwenye simu yake? halafu ndo tuendelee. mia
Swadakta! Kimsingi mshindi wa hii zawadi ni mimi. Naomba ujiongeze basi iwe ya hadhi yangu tafadhali. Unaweza kulipia post paid bill yangu ya mwezi ujao.....wacha maneno mingi mdada, mi najua vocha zako huwa zina masifuri ma 4
Swadakta! Kimsingi mshindi wa hii zawadi ni mimi. Naomba ujiongeze basi iwe ya hadhi yangu tafadhali. Unaweza kulipia post paid bill yangu ya mwezi ujao.....
Nikiweka 500 napata sms......vocha hii imekwisha tumika.....labda nikiweka 5000.......kwa mbaaaaaali ndio inakubali.......anaza kwescheni........?
soma tena
Uslope mbaya mdogo wangu. Kuwa ujionee.
editing hata hio bado saaana
no wife matterial hapa, wote wale wale
Niko kimjini zaidi best. Hivi jero si inatosha extreme kutwa nzima?
kama jero ndo kigezo fine ni bora nisiw