JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Shkamoo atm
Nimechelewa Kabang
ni PM namba yako.... Shikamoo wataka kuninyima nini?
500 hainitoshi hata kwa kubeep......we baki nayo tu...,,
Tatizo simu yangu ni post paid. Vipi marehemu mtarajali anaendeleaje?
we unachagua zawadi? Hata TSH 100 unatakiwa sema ahsante. Kumbe we ndo wale wale wa ATM
Sasa kumbe........natumia IPhone 5 uniwekee 500......unataka apple wanifungie matumizi ya simu yao....?
Shkamoo atm
jero???????
Shkamoo atm
Hahaha...best yangu wewe nakukubali sana lol
Nawe bahili. Unataka kuua kukwepa mizinga tu. Mmhdah... Marehemu amenikumbuka kwa SMS Nimemkaushia
Nawe bahili. Unataka kuua kukwepa mizinga tu. Mmh