GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

What has he done to make you say he is brilliant and that "upstairs yuko fit sana"?

What has he done or accomplished that others haven't?

I hear people talk all the time about how brilliant he is and this, that, and the third but what exactly about him that make people say that?

Did he graduate summa cum laude? Is he a Nobel laureate?

Nimefarijika uliposema "I hear people talk ALL THE TIME about how brilliant he is". Ndugu yangu watu sio wapuuzi kama unavyodhani. Kauli ya wengi ni kauli ya Mungu. Sasa kama unataka ashinde Tuzo ya Nobel ndio ukubali hapo ni dhahiri una lako Kama nilivyosema hapo juu.
 
Unashauri ahamie chama kipi?

George Smiley,

..atakuwa na msaada mkubwa ktk chama chochote kile cha upinzani.

..unajua watu kama January ndiyo wanaoendelea ku-legitimize ufisadi wa CCM.

..wananchi wakiona kijana sharp and competent kama January yuko CCM basi wanajenga matumaini kwamba CCM inaweza kujirekebisha, wakati ukweli ni kwamba CCM hairekebishiki tena.

..kwa kweli mimi nasononeka sana nikiona kijana kama huyu wasting his time,talent, and intellect, kukitumia chama dhalimu kama CCM.
 
Mkuu I don't know the geezer wala huwa sina muda wa kumuongelea mtu wala kumshabikia / kumchukia.., mimi hapa naongelea facts na issues at hand.., ziwe zimetoka kwa mzee, mtoto au a nobel prize winner (aliyezitoa does not matter to me bali the contents of the issue)

Hivyo basi will kuripoti rushwa by sms itazuia rushwa na je hii ni innovation au ndio zile zile kuleta siasa kwenye kila kitu ?
Shirika la maendeleo kama lipo its well and good lakini je hii ndio short cut au ndio hizo hizo siasa, hivi hao wananchi wakulima mpaka sasa wanahitaji nini zaidi ?, term yake karibia inakwisha sidhani kama matatizo ya usafiri wa bidhaa zao kuzipeleka sokoni yameshakuwa solved... (mkuu back to the basics.., badala ya kuangalia mambo makubwa makubwa ni bora kuanza na madogo na kuwasaidia watu na sio ku-talk the talk na ku-spend time and energy na kujipromote kwenye magazeti)

By the way sijui kama huyu bwana anajua siku hizi mitandao yote kuanzia voda mpaka airtel mitandao in matatizo sana nadhani angetumia muda wake more efficiently na kuongea na hawa mabwana kuona ni nini kimetokea.., hayo ya kuripoti rushwa kwa sms can wait

Nijuavyo mimi ni kuwa fact may indicate findings derived through a process of evaluation, including review of testimony, direct observation, or otherwise; as distinguishable from matters of inference or speculation.[SUP][/SUP] Sasa kwa sababu unasema wewe unazungumzia facts. Hebu tufahamishe ni FACTS zipi hizo unazoziongelea hapa?[SUP][/SUP]
 
George Smiley,

..atakuwa na msaada mkubwa ktk chama chochote kile cha upinzani.

..unajua watu kama January ndiyo wanaoendelea ku-legitimize ufisadi wa CCM.

..wananchi wakiona kijana sharp and competent kama January yuko CCM basi wanajenga matumaini kwamba CCM inaweza kujirekebisha, wakati ukweli ni kwamba CCM hairekebishiki tena.

..kwa kweli mimi nasononeka sana nikiona kijana kama huyu wasting his time,talent, and intellect, kukitumia chama dhalimu kama CCM.

Toa JINA la hicho chama cha upinzani ambacho unataka January ahamie
 
Nyani Ngabu anajulikana mara zote kwa chuki na wivu mkali dhidi ya Mbunge wangu tangu wako wote shule kwahiyo simshangai sana na ningeshangaa kama angesifu kitu chochote cha Mheshimiwa Makamba.

Mimi mbeba maboksi nimesoma naye wapi huyo jamaa hadi nimchukie na kumuonea wivu? Yeye ana mastaz sijui ya conflict resolution au sijui international relations kutoka chuo kikuu cha Marekani wakati mimi nina cheti cha darasa la saba LY 1990 shule ya msingi Mapambano.

Tukubali tusikubali Makamba sio tu kajaliwa na Mungu akili kubwa na maarifa lakini pia kajaliwa busara na hekima inayofanya kila anayekutana naye na kuongea naye kumheshimu na kuvutiwa naye.

Ushahidi wa matokeo ya akili yake "kubwa na maarifa" uko wapi? Kafanya nini ambacho nyinyi mnaona ni alama ya "akili kubwa" na maarifa? Ka-solve Riemann hypothesis?

Kwa rehema za Mungu sasa ni Kiongozi na kwa rehema hizo hizo za Mungu mtu kama Nyani Ngabu kabakiwa tu na kazi ya kumjadili na kukomaa hadi mishipa ya mwisho kwamba hafai.

Kiongozi gani huyo hata kura hakupigiwa.

Sina hakika hata kama Makamba anamkumbuka au hata kama ana muda wa kumzungumzia Makamba. Ndio malimwengu, kuna wanaotenda hata kama wanakosea na kuna wanaojadili. Watakaoingia kwenye vitabu vya historia ni mtu kama Makamba hata kwasababu ya kuthubutu tu. Kwa mtu kama Ngabu chuki na wivu vinamtafuna hadi moyoni na atabaki bila maisha ya furaha hadi anaingia kaburini.

Chuki na wivu vya nini mimi? Kama bata mbona nimeanza kula tokea nikiwa tumboni na nitaendelea kula hadi kaburini. Sasa wivu utoke wapi?

Namuombea Mbunge wangu uvumilivu dhidi ya chuki hizi na mola kwa mapenzi yake atamuangaza na kumfanyia wepesi katika kutimiza malengo ya Bumbuli na kitaifa. Nampongeza kwa kuthubutu. Nampongeza kwamba wenzetu hadi huko nje sasa nao wanaona uwezo wake. Najua mafanikio hualika wivu na ndio maana tunaona haya. Songa mbele Mbunge wangu, songa!

Teh teh teh
 
Mimi mbeba maboksi nimesoma naye wapi huyo jamaa hadi nimchukie na kumuonea wivu? Yeye ana mastaz sijui ya conflict resolution au sijui international relations kutoka chuo kikuu cha Marekani wakati mimi nina cheti cha darasa la saba LY 1990 shule ya msingi Mapambano.

Ushahidi wa matokeo ya akili yake "kubwa na maarifa" uko wapi? Kafanya nini ambacho nyinyi mnaona ni alama ya "akili kubwa" na maarifa? Ka-solve Riemann hypothesis?

Kiongozi gani huyo hata kura hakupigiwa.

Chuki na wivu vya nini mimi? Kama bata mbona nimeanza kula tokea nikiwa tumboni na nitaendelea kula hadi kaburini. Sasa wivu utoke wapi?

Teh teh teh

Last edited by a moderator:
Nimefarijika uliposema "I hear people talk ALL THE TIME about how brilliant he is". Ndugu yangu watu sio wapuuzi kama unavyodhani. Kauli ya wengi ni kauli ya Mungu. Sasa kama unataka ashinde Tuzo ya Nobel ndio ukubali hapo ni dhahiri una lako Kama nilivyosema hapo juu.

Kauli ya wengi ni kauli ya mungu? Kwa mujibu wa nani? Na ina maana wewe unaamini kuwa Kikwete ni chaguo la mungu kwa sababu alishinda uchaguzi wa 2005 kwa asilimia 80?

Huyo jamaa is not that brilliant. He is at best very average.
 
Kwa nini unapinga mradi wa Bumbuli Development Corporation?
Mkuu ni wapi nimepinga huu mradi au any mradi for that matter naomba unionyeshe..

Binafsi simjui jamaa wala any Bumbuli Development, lakini as I said before nimejibu issues kwenye hio article ambayo to me it lacks any substance na ingekuwa more deserving hata wangemuandika mtu aliyetoa msaada wa madawati au kusaidia kuchimba kisima..

And since it seem unamfahamu huyu jamaa naomba umwambie kuna shida sana na mitandao siku hizi ukimpigia mtu humpati na network zinakuwa hazipo mara kwa mara (kwahio since yupo wizara ya haya mambo azikumbushe hizi kampuni to raise their game..) hayo mengine nadhani mtapongezana wenyewe mkikutana siku mkitembeleana.., kwangu mimi nitapata faida tu yeye akifanya kazi yake na kwa sasa ni kuhakikisha mawasiliano yanakuwa mazuri angalau kama hapo mwanzo sababu nadhani yamezidi kuwa mabovu
 
January looks dynamic lakini kwa kuwa antoka kwa chama kisichoaminika kinachokula rushwa hata mchana basi ni vigumu kumwani kijana huyu pia.La msingi Watanzania wameamka sana.
 
Kauli ya wengi ni kauli ya mungu? Kwa mujibu wa nani? Na ina maana wewe unaamini kuwa Kikwete ni chaguo la mungu kwa sababu alishinda uchaguzi wa 2005 kwa asilimia 80?

Huyo jamaa is not that brilliant. He is at best very average.

Sorry to disappoint you, Wanabumbuli walimridhia na ndio walimchagua kuwa Mbunge wao.
Je wewe mbunge wako ni nani?
 
Nyani Ngabu anajulikana mara zote kwa chuki na wivu mkali dhidi ya Mbunge wangu tangu wako wote shule kwahiyo simshangai sana na ningeshangaa kama angesifu kitu chochote cha Mheshimiwa Makamba. Tukubali tusikubali Makamba sio tu kajaliwa na Mungu akili kubwa na maarifa lakini pia kajaliwa busara na hekima inayofanya kila anayekutana naye na kuongea naye kumheshimu na kuvutiwa naye. Kwa rehema za Mungu sasa ni Kiongozi na kwa rehema hizo hizo za Mungu mtu kama Nyani Ngabu kabakiwa tu na kazi ya kumjadili na kukomaa hadi mishipa ya mwisho kwamba hafai. Sina hakika hata kama Makamba anamkumbuka au hata kama ana muda wa kumzungumzia Makamba. Ndio malimwengu, kuna wanaotenda hata kama wanakosea na kuna wanaojadili. Watakaoingia kwenye vitabu vya historia ni mtu kama Makamba hata kwasababu ya kuthubutu tu. Kwa mtu kama Ngabu chuki na wivu vinamtafuna hadi moyoni na atabaki bila maisha ya furaha hadi anaingia kaburini.

Namuombea Mbunge wangu uvumilivu dhidi ya chuki hizi na mola kwa mapenzi yake atamuangaza na kumfanyia wepesi katika kutimiza malengo ya Bumbuli na kitaifa. Nampongeza kwa kuthubutu. Nampongeza kwamba wenzetu hadi huko nje sasa nao wanaona uwezo wake. Najua mafanikio hualika wivu na ndio maana tunaona haya. Songa mbele Mbunge wangu, songa!

...Post TANO.
Ina maana umejiunga humu kumpigia debe na kumtetea JM dhidi ya NN?
Hivi hawa wengine waliompinga Mbunge wako aliyejaliwa akili nyingi na Mungu hukuwaona umemuona NN tu?
Umelipwa Shilingi ngapi??
Umejuaje kama Mungu amempa JM akili nyingi KULIKO WEWE BINAFSI??
Umeoteshwa??
Usiimbe tu Kuhusu mafanikio. Hebu taja mafanikio MATATU TU ambayo watu wa Bumbuli wameanza kufaidika navyo.
Tafadhali usitaje mkutano wa Diamond wala Mipango, hayo sio mafanikio Comrade bali bado ni mipango kwenye makaratasi.
Yangu ni hayo.

Ah, ngoja nimuache NN ajibu Kesi yake.

Mkuu ni wapi nimepinga huu mradi au any mradi for that matter naomba unionyeshe..

Binafsi simjui jamaa wala any Bumbuli Development, lakini as I said before nimejibu issues kwenye hio article ambayo to me it lacks any substance na ingekuwa more deserving hata wangemuandika mtu aliyetoa msaada wa madawati au kusaidia kuchimba kisima..

And since it seem unamfahamu huyu jamaa naomba umwambie kuna shida sana na mitandao siku hizi ukimpigia mtu humpati na network zinakuwa hazipo mara kwa mara (kwahio since yupo wizara ya haya mambo azikumbushe hizi kampuni to raise their game..) hayo mengine nadhani mtapongezana wenyewe mkikutana siku mkitembeleana.., kwangu mimi nitapata faida tu yeye akifanya kazi yake na kwa sasa ni kuhakikisha mawasiliano yanakuwa mazuri angalau kama hapo mwanzo sababu nadhani yamezidi kuwa mabovu

Mwanzo umesema unazo FACTS. Nijuavyo mimi ni kuwa facts may be checked by reason, experiment, personal experience, or may be argued from authority. Sasa hebu tupatie hizo FACTS ulizosema ni zipi?
 
...Post TANO.
Ina maana umeingia humu kumpigia debe kumtetea JM dhidi ya NN?
Hivi hawa wengine waliompinga Mbunge wako aliyejaliwa akili nyingi na Mungu hukuwaona umemuona NN tu?
Umelipwa Shilingi ngapi??
Umejuaje kama Mungu amempa JM akili nyingi KULIKO WEWE BINAFSI??
Umeoteshwa??
Usiimbe tu Kuhusu mafanikio. Hebu taja mafanikio MATATU TU ambayo watu wa Bumbuli wameanza kufaidika navyo.
Tafadhali usitaje mkutano wa Diamond wala Mipango, hayo sio mafanikio Comrade bali bado ni mipango kwenye makaratasi.

Sheria ipio ya JF imevunjwa hapo?
 
Back
Top Bottom