Silivian
Member
- Nov 13, 2022
- 88
- 212
Kuna jamaa alikuwa na mahusiano yenye umri wa takribani miaka kumi mpaka wakulungwa wakaamini hawa ni kifo tu kitawatenganisha, Ila huwezi amini message moja tu ya simu iliua haya mahusiano tukabaki midomo wazi.
Tulichojifunza ni kuwa umri wa mahusiano yenu hauguarantee ndoa.
Tulichojifunza ni kuwa umri wa mahusiano yenu hauguarantee ndoa.