Guarantee ya ndoa

Guarantee ya ndoa

Shida tangu watu waanze kuoa na kuolewa ilikua kwa sababu strategic, kulinda mali, amani kati ya pande mbili mahasimu nk..siku hz watu wanaoa hisia, na hisia kama upepo unakuja unakata...huwez fuata hisia tu ukaweza ndoa yoyote ile
 
Kama haujapiga bapa akili yako inakuwaga fresh Sana!
Ndoa za mkataba ni muhimu Sana kwa ustawi Wa jamii na afya ya akili ya wanandoa!
Umejaribu kufikiria baada ya mkataba kuisha umekuwa na 40 nani atakuchukua?
 
Back
Top Bottom