Guangzhou yaanzisha basi linaloonyesha Opera ya Guangdong

Guangzhou yaanzisha basi linaloonyesha Opera ya Guangdong

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,248
Reaction score
1,216
VCG111386546970.jpg
Hafla ya kuanzisha basi No.8 linaloonyesha Opera ya Guangdong ilifanyika tarehe 8 Juni kwenye jumba la makumbusho ya sanaa ya Opera ya Guangdong mjini Guangzhou, China.

Kwenye hafla hiyo, basi No.8 lenye historia ya miaka 70 limepambwa upya na kuwa jukwaa linalohamahama la kuonyesha Opera ya Guangdong.
 
Back
Top Bottom