demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,289
Oyaaa We Jamaa watuvunja mbavu aisee! 😂😂😂Mo yeye ilimshinda African Lyon na singida au historia imekupitia pembeni!
Kwamba alikimbia huko baada ya wakulungwa kukataa kuwekewa matangazo ya sabuni za gesti kwenye jezi zao.