Wapendwa,
Namshukuru sana Mola kwa kuniwezesha kufika siku hii salama..leo nagonga 27 nikiwa na afya pia nguvu tele.
Hakutakuwa na Bday party, inshallah mwaka mwingine tukijaliwa uzima.
Nawapenda sana na tuendelee kuelimishana/kuchanganua uwanja huu huku tukilijenga Taifa letu kwa hali na mali.
Baraka tele mjaaliwe katika maisha na majukumu yenu ya kila siku.
Wa dhati,
BelindaJacob!!...BJ.....
xoxoxoxo
Nilipanga nikuwish jana, niliposearchWapendwa,
Namshukuru sana Mola kwa kuniwezesha kufika siku hii salama..leo nagonga 27 nikiwa na afya pia nguvu tele.
Hakutakuwa na Bday party, inshallah mwaka mwingine tukijaliwa uzima.
Nawapenda sana na tuendelee kuelimishana/kuchanganua uwanja huu huku tukilijenga Taifa letu kwa hali na mali.
Baraka tele mjaaliwe katika maisha na majukumu yenu ya kila siku.
Wa dhati,
BelindaJacob!!...BJ.....
xoxoxoxo
Nilipanga nikuwish jana, niliposearch
Growing Old is Mandatory!!..HBD BelindaJacob
kwa google, iliniletea madudu hadi kuniponza nikijua jf imegoma nikalala, usiku huu wa manene nikajaribu tena nikakuta madudu yale yale, ila nilipofungua page nyingine ya jf nikakuta iko ok, ndipo nika seach kupitia jf na kuipata thread hii.
Japo ni jana, siku moja imeishapita, but
HBD BelindaJacob
P.
Heri ya kuzaliwa BelindaJacob, uendelee kupaka lipstick miaka milioni. Mungu akuangazie upite njia nyoofu yenye ulinzi wake kila siku. Before turning 30 make sure you are at 40% of your dreams. We all live once.
Be blessed!!!