May dear Lord bless u!!! Happy bday dear BJ....happy bday to uuuu.Ur 27??? Sooooooo young unatakiwa ukiingia hapa uanze na shikamoo baba NguliWapendwa,Namshukuru sana Mola kwa kuniwezesha kufika siku hii salama..leo nagonga 27 nikiwa na afya pia nguvu tele.Hakutakuwa na Bday party, inshallah mwaka mwingine tukijaliwa uzima.Nawapenda sana na tuendelee kuelimishana/kuchanganua uwanja huu huku tukilijenga Taifa letu kwa hali na mali.Baraka tele mjaaliwe katika maisha na majukumu yenu ya kila siku.Wa thati,BelindaJacob!!...BJ.....xoxoxoxo
Happy Birthday babe BJ.....
Same Same BJ That I know
Keep up growing strong, and keep
Your ambitions and determination up front
Happy birthday Belly!
Happy birthday 2u
u liv in a zoo
u luk like a monkey
u smell like one too!!
How old r u now
we bought a new cow
it keeps mooing moo
like u r doing now!!!
HAPPY BIRTHDAY DADA..Zaburi 90:12 "12. Basi utujulishe kuzihesabu siku zetu : nijipatie moyo wa hekima. "
Hey BJ...
You are younger than i thought.....
Happy birthday.....still lots to learn....and lots to do....goodluck!
Hongera Sana....; Happy Birthday....
daaamn......You also thought that? Should have asked me... nimeona mengi kijana LOL
Happy birthday Belinda!
Happy Birthday belly..
Happy birthday!
Hahahaaa....hii dunia iko na mambo mingi.....
Happy birthday bj. Can you live more and more years and blow many candles as you can.
May dear Lord bless u!!! Happy bday dear BJ....happy bday to uuuu.Ur 27??? Sooooooo young unatakiwa ukiingia hapa uanze na shikamoo baba Nguli
happy bday....
Wapendwa,
Namshukuru sana Mola kwa kuniwezesha kufika siku hii salama..leo nagonga 27 nikiwa na afya pia nguvu tele.
Hakutakuwa na Bday party, inshallah mwaka mwingine tukijaliwa uzima.
Nawapenda sana na tuendelee kuelimishana/kuchanganua uwanja huu huku tukilijenga Taifa letu kwa hali na mali.
Baraka tele mjaaliwe katika maisha na majukumu yenu ya kila siku.
Wa thati,
BelindaJacob!!...BJ.....
xoxoxoxo
hongera sana BJ, haya uzee unaanza kukunyemelea sasa mtoto wa kike,
Uolewe sasa, acha kuchagua chagua mno..................................(joke)
Happy birthday BJ, Mungu akujalie maisha marefu..Wapendwa,Namshukuru sana Mola kwa kuniwezesha kufika siku hii salama..leo nagonga 27 nikiwa na afya pia nguvu tele.Hakutakuwa na Bday party, inshallah mwaka mwingine tukijaliwa uzima.Nawapenda sana na tuendelee kuelimishana/kuchanganua uwanja huu huku tukilijenga Taifa letu kwa hali na mali.Baraka tele mjaaliwe katika maisha na majukumu yenu ya kila siku.Wa thati,BelindaJacob!!...BJ.....xoxoxoxo
Wapendwa,
Namshukuru sana Mola kwa kuniwezesha kufika siku hii salama..leo nagonga 27 nikiwa na afya pia nguvu tele.
Hakutakuwa na Bday party, inshallah mwaka mwingine tukijaliwa uzima.
Nawapenda sana na tuendelee kuelimishana/kuchanganua uwanja huu huku tukilijenga Taifa letu kwa hali na mali.
Baraka tele mjaaliwe katika maisha na majukumu yenu ya kila siku.
Wa thati,
BelindaJacob!!...BJ.....
xoxoxoxo
Happy birthday BJ, Mungu akujalie maisha marefu..
Wow BJ ur ma sis.... huh! I wish u remain there hadi nikufikie, hahahaaaa Hongera yako mwaya mamii mwenyezi Mungu akuzidishie maisha mareeefu yenye upendo na amani, pia busara na hekima. Happy bday dear!
ok, congrats. lakini nipe cha maana ulichofanya miaka 27 kinachoweza kuigwa
Happy birthday BJ, ukubwa huo.
happy birthday to you.
happy birthday my little....very little sister....xo xo xo
It's good to have friends
Friends who care,
Friends who you know
Will always be there
When you need them,
And never complain,
When you tell the same story
Again and again.
Happy Birthday, my friend Belinda Jacob..Lipstick ya purple
Sasa uanze kupaka Lipstick ya purple
hongera BJ.
Umebarikiwa wewe. kuna m2 ndo antungwa mimba sas hivi
na pengine akizaliwa hata ishi hata robo ya hapo ulipo.
A woman should allways behave like a woman to show her womanhood.
Ubarikiwe zaidi.
Happy Birthday Belinda.Age is just a number don't stop having fun.
Happy birthday BJ, ukubwa huo.
mimi ni mbibi.Ndo na we ukue uwe kakubwa nikutume dukani
Ndo na we ukue uwe kakubwa nikutume dukani
mimi ni mbibi.