REJONGO Senior Member Oct 23, 2015 185 128 Mar 11, 2016 #1 Si uliniambia hili group la whatsap ni kwa ajili ya ma X wako tu,sasa rafiki yangu kidawa amefuata nn kwenye hili group
Si uliniambia hili group la whatsap ni kwa ajili ya ma X wako tu,sasa rafiki yangu kidawa amefuata nn kwenye hili group
Erickjr JF-Expert Member Jul 11, 2015 994 787 Mar 11, 2016 #2 Hiyo "Ma X" Ndio "Majitu Gani" Hayo?? Yanaishi Sayari Gani?
MUSSA ALLAN JF-Expert Member Oct 13, 2013 18,925 13,263 Mar 11, 2016 #6 TANGAZO Linakera sana,huyu X anajifanya kuwa mwenye mamlaka kuliko wenzie!
No SQL JF-Expert Member Nov 8, 2014 7,007 12,390 Mar 11, 2016 #8 Hehehee hlo tangazo linafurahisha sana...inaonyesha jins gan mwanamke anahitaji mawazo ya mmewe ata kama jibu analo
Hehehee hlo tangazo linafurahisha sana...inaonyesha jins gan mwanamke anahitaji mawazo ya mmewe ata kama jibu analo