snipa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 4,523 Reaction score 2,162 Feb 19, 2025 #1 Baada ya DeepSeek kuleta changamoto sasa Elon Musk kaamua Grok kupatikana kama Application ya kawaida, ambayo itapatikana kwenye App store zote.
Baada ya DeepSeek kuleta changamoto sasa Elon Musk kaamua Grok kupatikana kama Application ya kawaida, ambayo itapatikana kwenye App store zote.
Khanji kapoor JF-Expert Member Joined Oct 19, 2024 Posts 3,368 Reaction score 8,404 Feb 19, 2025 #2 Zinasaidia Sana madesa🤣🤣🤣
Msela Wa Kitaa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2021 Posts 2,217 Reaction score 4,272 Feb 19, 2025 #3 Elimu tafadhari Zinatumikaje?
Nomadiq JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 7,924 Reaction score 20,912 Feb 19, 2025 #4 Tunaisubiri JF AI itapendeza kama itaitwa Jamii AI
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,104 Reaction score 1,249,082 Feb 19, 2025 #5 Sawa sawa