Mijadala kama hii inajaza sana wapiga boksi. Wanajua wengine wanakuja kutaabika kama wao. Kweli ule msemo wa "misery loves company" ni wa kweli.
Sidhani kama kuna haja ya kubishana nilichokiandika nina uhakika nacho mpaka visa ulikuwa unalipia labda mwaka huu wamebadili kwa wale waliobahatika kupata greencard miaka miwili au mitatu ya nyuma watanisaidia.
Mijadala kama hii inajaza sana wapiga boksi. Wanajua wengine wanakuja kutaabika kama wao. Kweli ule msemo wa "misery loves company" ni wa kweli.
Mwamba unaumia nini kulazimisha mtu afanye utakavyo,?When i said ulaya i meant nchi za nje.. Marekani europe kote ni ulaya.. Greencard ya nini tulieni bongo.. Wenzio wamarekani wanakimbia huko wanakuja kula nchi yetu hapa