Green star express haifai kabisa

Green star express haifai kabisa

kamtu33

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
998
Reaction score
409
Wana jamvi leo nimesafili na basi la Green star express kutoka Mwanza kwenda Dar imeharibika hapa njia panda kwenda Isaka (Tinde) hakuna msaada wowote wala wenye gari hawana ushirikiano na sisi abilia sasa ni tabu tupu hata hatuelewi tunafanyaje
My take: haya magari nilisikia ni ya bb kiroboto sasa wanasema mkurugenzi hapokei simu hebu tusaidieni mwenye contact za owner wa basi hili pls
 
hapo bado mbona,nilishawah toka nalo dar saa kumi na mbil asubuh nikafka mwanza kesho yake saa kumi na mbil asubuh nliapa ctajarb tena kupanda
 
Mbona nasikia hayo ndio mabasi bab kubwa ya njia ya mwanza-dar.. Na nauli zake yanamzidi fast jet maradufu
 
Kabla hajafanya booking muwe mnauliza kwana.

always,natumia Princes Muro,dar>mwanza,fasta tu,by the way,hiyo green star ni yutong kama zlivyo muro,al saedy nk,zkianza kuchoka bora usafiri na pkpk yako.
 
Pole sna, lakin mbna mwnza 2 dar kuna gari nyingi tu na za uhakika kwa usfirishaji wa abiria, Green star zishakongoroka ni rangi tu yan heri uwashe baja yako utawahi kufika na salama!
 
Pole sana ndo bongo land hiyo kila kitu utapeli.
 
Hata me huwa nayaona yamebuma mara kibao tu njiani Iringa - Moro.Cjui rout nyinginezo
 
Pole msafiri, green star imebaki jina tu na leo kama hamtalala njiani sijui, next time usirudie, bora upande hata zuberi, kwanza wana bei kubwa, tofauti ya sh 10,000 na mabasi mengine wakati mabasi ni hovyo, pole!
Pole sna, lakin mbna
mwnza 2 dar kuna gari nyingi tu na za uhakika kwa usfirishaji wa abiria,
Green star zishakongoroka ni rangi tu yan heri uwashe baja yako utawahi
kufika na salama!
 
Pole sana. kwaho sasa hivi hata Misigiri mmeshafika kweli?

Yaani ndio tunaingia Singida stend sasa hivi, hata hivyo bado gari ni bovu linatembelea gear namba nne tano na sita hazingii
 
Tatizo la gia box kwa hyutong ni kawaida, alafu hizo ni basi laini sana hivyo makampuni yanayofanikiwa kuzitumia ni yale yanayofanya service yakutosha kila mara!

Tatizo la green star hawafanyi service kwavgar zao zote na ndio sababu kila cku wanaohadaika kwa rangi kama ww hua wanajuta kuzipanda! Mfano mzur ni kwamba gar kama all sayed hyutong zinaonekana zimesha chakaa ukilinganisha na green star lakin all saiyd ni gar ya kuaminika sana kwa safar kwakua inatunzwa vizur!
Nawashaur tuchague usafir kwakuangaliavkampuni zinazojali kazi zao na wateja wao! ukweli ni kwamba huduma kwa wateja kwa green star hua zinaishia pale gar ikiwa nzima lakin ikpata matatizo gar bac jua wafanyakaz wote watapoteana!
 
Wakati yanaingia ndio yalikuwa bab kubwa. sasa hivi ni spana mkononi.
Ndibalema yaliingia lini yakiwa mapya? mpaka leo sijamsikia mmiliki wake ila kamtu33 mmengewauliza yale mabasi ya kampuni ya Scandinavia yalienda wapi maana yalikuwa mengi, usikute Green Star aliyachukua au alibadili rangi tu, 2hand ni kazi sana
 
Last edited by a moderator:
Ndibalema yaliingia lini yakiwa mapya? mpaka leo sijamsikia mmiliki wake ila kamtu33 mmengewauliza yale mabasi ya kampuni ya Scandinavia yalienda wapi maana yalikuwa mengi, usikute Green Star aliyachukua au alibadili rangi tu, 2hand ni kazi sana
Yaliingia mwaka 2011 na yalikuwa mapya ila kama unavyojua Youtong ni mabasi yanayotengenezwa China tena kwa kulenga soko la Afrika hivyo ubora wake hupolomoka mapema sana.
Yale mabasi yaliyokuwa ya scandinavia yalikuwa ni scania ambayo ni quality kuliko youtong.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom