CHADEMA wamesomea wapi na kufanyia wapi mafunzo ya upelelezi mpaka wewe uwe na imani nao?
Hizo ni story za vijiweni tu na hazina uthibitisho unao ridhisha.
Nimemwona Jumanne Mjusi kibaka aliyeshindikana hapa mjini maeneo ya kilombero kwa kazi hiyo pamoja na polisi waaminifu kwa ccm wakifanya uhalifu wa kuwakamata vijana wanaofanya biashara yao.
Hatuandamani ng'o kama mipango yao ndiyo hiyo.
Tutadai haki yetu na kuwatetea wote wanaoonewa kwa njia inayofaa.
Baada ya uchaguzi tutawapekelekea watawala ujumbe muhimu wa haki na utu wa mtanzania
Kaka, kuandamana ni haki ya kikatiba ya kudai haki. Na mara zote ni njia inayofaa. Ila kwa leo msiitumie... Maana wamejipanga kuandaa mazingira
CHADEMA wamesomea wapi na kufanyia wapi mafunzo ya upelelezi mpaka wewe uwe na imani nao?
Hizo ni story za vijiweni tu na hazina uthibitisho unao ridhisha.
kiwewe cha kushindwa uchaguzi na mwendelezo wa ugaidi wa CCM na mbinu za kuhairisha uchaguzi jijini Arusha leo zimeendelea baada ya wafanyabiasha wa malori ya mizigo na baadhi ya wafanyabiashara wa soko la Kilombero leo wamekamatwa na green guard wakishirikiana na jeshi la polisi baada ya kukataa kutozwa ushuru na vijana wa CCM wakitaka waje kampuni iliyopitishwa na halmashauri ya jiji la Arusha kama sheria na kanunu zinavyotaka.2??.ndipo jeshi na vijana wa CCM ambao wengi wao ni majambazi walio samehewa kwenye mazingira ya kutatanisha wakaanza kuwakamata lakini baada ya uchunguzi wa CHADEMA kufanyika inaonekana wamefanya hivyo wakijua kuwa kilombero ni ngome ya CHADEMA na unapowakamata ni ili waandamane fujo zitokee uchaguzi uhahirishwe tena...na sababu nyingine ni kuendelea kuwazoofisha CHADEMA kuelekea uchaguzi mhimu sana kwa jiji la Arusha...
mbona unaongea kama umebanwa na mlango??? lwakatare alikuwa anapanga mipango ya kulisha waandishi sumu, video ipo..lakini pia tume ya wahariri imethibitisha pasipo shaka uhusika wa chadema katika utesaji wa kibanda..acha kuweweseka.ukitaka kujua jibu sahihi ya namna chadema inavyopeleleza ni vigumu sana ila mifano hii ipitie harafu kama una akili angalau za kupenfea kamasi utapata jibu..namna mwigulu na usalama wa kikwete walivyo shiriki utengenezaji wa movi ya lwaks na baadae kumg'oa meno kibanda...
Nimemwona Jumanne Mjusi kibaka aliyeshindikana hapa mjini maeneo ya kilombero kwa kazi hiyo pamoja na polisi waaminifu kwa ccm wakifanya uhalifu wa kuwakamata vijana wanaofanya biashara yao.
Hatuandamani ng'o kama mipango yao ndiyo hiyo.
Tutadai haki yetu na kuwatetea wote wanaoonewa kwa njia inayofaa.
Baada ya uchaguzi tutawapekelekea watawala ujumbe muhimu wa haki na utu wa mtanzania
kawadanganye wajinga wenzako, huu uzushi.
1.green guard sio kazi yao kukamata watu wala kukusanya ushuru
2. green guard hawana ushirikiano wwte na polisi
3. udaku udaku udaku ndio mana uchaguzi ukija mnaangukia pua
mbona unaongea kama umebanwa na mlango??? lwakatare alikuwa anapanga mipango ya kulisha waandishi sumu, video ipo..lakini pia tume ya wahariri imethibitisha pasipo shaka uhusika wa chadema katika utesaji wa kibanda..acha kuweweseka.
Dawa yake tulieni, msifanye fujo wala maandamano kuelekea vituo vya polisi.Utaratibu wa kisheria wa kupata dhamana uchukue nafasi yake vinginevyo mbinu yao itafanikiwa!