Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,299
- 17,382
Hii ndio outcome ya kusimamisha uigizaji wa mafuta toka Iran. Spain hoi, Ureno nayo hoi, uchumi wa UK unakuwa slowly na huko hoi. Ufaransa ashukuru mpango wake wa kumuua Gaddafi ulifanikiwa, otherwiz ma-banki yake yangekuwa kama Greece... Soon German atashindwa kuibeba EU, 'kila mtu atabeba msalaba wake'... Hapo ndio tutaona nchi nyingi zinafilisika na EU kuvunjika... Strategically, US-Iran conflict was designed diversionally to stop coming powerful EUZONE. EU na china zimekuwa zinamsumbua sana US, kwa sababu ya power shift... Sasa aliyebakia ni mchina..
wabongo bwana kila mtu mtaalamu wa kila kitu, tangu lini mafuta ya Irani yakawa chanzo chA matatizo ya sasa hivi ya EU, kwa taarifa yako wazungu sio kama sisi wana mipango mpaka wafikie kukubali kuwekea nchi fulani sanction ujue tayari wana reserve ya kutosha au wameshatafuta vyanzo vingine kufidia. Matatizo ya EU hayana uhusiano wowote na Iran usijaribu kurahisisha mambo kwa kuandika tu ili mradi, kwa nini Marekani adhoofishe EU? unajua historia ya EU wewe au unajua kwa nini ilianzishwa na nani alihusika?