Greda linausubiri UKUTA Septemba mosi

Greda linausubiri UKUTA Septemba mosi

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
9,881
Reaction score
5,767
Ingekuwa poa siku hiyo watangulie viongozi/watoto/ ndugu wa viongozi wa UKUTA.
FB_IMG_1471421859785.jpg
 
Vijana wengi wameachana na CHADEMA. Sijui watawatumia watu gani kwenye UKUTA
 
Hehehe Nabado
Najua sikuhiyo hawata kuja kuisahau kitakacho wakuta
 
Hehehe Nabado
Najua sikuhiyo hawata kuja kuisahau kitakacho wakuta
 
CCM wanatetemeka wakisika ukuta, hata hivyo lengo la ukuta ni zuri kupinga udikteta nchini
 
Mnachokiona ni UKUTA, hamjiulizi ya bandari mizigo kupungua, riba za benk kupanda, biashara ngumu mtaani..
Endeleni kupoteza muda na UKUTA
 
Hebu ona Ng'ombe wa Lumumba walivyo jazana kwenye huu uzi ,wakati ule uzi wa ufisadi wa UVCCM ,sijawaona Ng'ombe zaidi ya Lizaboni aliyeleta mkia ukaliwa na supu
 
Back
Top Bottom