Wamarekani weusi wa hapa kwetu kuna: Bitchuka, Maneti, Marijani, Chidumule, Gurumo, Roy Bashekanako, Shaaban Dede, Muumin, Choki, Banza, Kasalo Kyanga, King Kikii, Hamza Kalala, Kasongo Mpinda, Jerry Nashon, Eddy Sheggy, yaani mkuu wako wengi mno ila si hawa wa sasa wanaotumia computer kudownload beats za watu na kujiita wanamuziki.