Greatest 2012 wishes - JF entrepreneurs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Greatest 2012 wishes - JF entrepreneurs

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by LAT, Dec 28, 2011.

 1. L

  LAT JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  i wish the US$ to trade as low as 1450 against TZS and let our tax policies to be reviewed in favour of promoting business community to trade more and pay respective lucrative taxes

  pia nina wish mabenki na taasisi za kifedha zitengeneze mazingira mazuri ya ukopeshaji kwa kutoa masharti nafuu na yanayoweza kutoa fursa za ukopeshaji kwa wajasiriamali (SME's) hii ni pamoja na kupunguza riba ya mikopo hadi 12%

  nawakilisha nikitegemea utawakilisha na wewe mdau
   
 2. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  [FONT=&amp]Mimi Natamani;[/FONT]
  [FONT=&amp]1. [/FONT][FONT=&amp]Serikali za mtaa zianze kustrengthen extension services so as to promote rural industrialization. Na pia zifacilitate the establishment of industrial clusters at regional, district and ward levels.[/FONT] [FONT=&amp][/FONT]

  2. [FONT=&amp]Wajasiriamali vijana wajiunge katika vikundi, ushirika au Saccos zilizopo (waanzishe zao) ili waweza kufaidika na mikopo ya riba nafuu watakayo jipangia wenyewe. (Mfano Pale TIB au CRDB Microfinance Plc wana mikopo ya Taasisi ndogo ndogo za kifedha kama Saccos ambazo riba yake ni 9%-12% p.a)[/FONT] [FONT=&amp]

  3. [/FONT]
  [FONT=&amp]Wajasiriamali wajiunge katika vikundi au taasisi kama vile (District Business Councils, TCCIA, CTI) kila wilaya nchini ili wawe na sauti moja katika kupigania maslahi yao, (haswa hii sheria mpya inayotulazimisha kuomba leseni kila mwaka, tena kwa kulipia wakati Serikali za Mtaa wakati serikali za mtaa zinashindwa kututengea mazingira bora ya kufanyia biashara (kumbuka bado tunalipia kodi TRA kila mwaka). United we stand, divided we fall[/FONT] [FONT=&amp]

  [/FONT]
  4. [FONT=&amp]Natamani mipango yangu iende kama ilivyopangwa tukianza hili suala la Financial NGO itakayotoa mikopo ya masharti nafuu kwa vijana na wakina mama[/FONT] [FONT=&amp]Natamani Wizara ya Viwanda na Biashara ije na Sera mpya itakayowashirikisha wajasiriamali na iwe inatekelezeka kwa urahisi (iliyokuwepo imeshapitwa na wakati)[/FONT]
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu mawazo yako yako powa sana but kwa mambo jinsi yanavyo enda ni vigumu sana.

  1. Kuhusu rural Industrazation
  - Kwanza watanzania wengi hawapendi kuanzisha viwanda vidogo vodogo, wana penda sana biashara zi sizo umiza kichwa
  - Sera ya sasa ni mbaya sana, na tusipo angali swala la viwanda Tanzania halitakuwepo tena, serikali isipo dhibiti importation ya kila kitu kutoka china, itakuwa vigumu sana ku shindana

  2. SACOSS
  - SACOSS zilikuwa zamani, kwa sasa sakozi zimekamatwa na mabenk na zimegeuzwa kuwa mawakala wa mabenki, zinatoa mikopo yenye riba sawa na benki
  - SACOOS nzuri ni ambayo itajitegemea yenyewe kifedha yaani sikope benk

  3. Hivi vikundi vya wilaya siasa zimekuwa nyingi sana

  4. Mkuu swala la mikopo inatakiwa uanze na fund yako kwanza, tafuta fund yako hata kama ni kidogo anza nayo na soma on how to manage business money itakusaidia sana kukua
   
 4. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nimekupata vizuri mno Komando na ninakubaliana nawe kwa sehemu Fulani but nina mambo kidogo ya kushare na wewe. Nitafuata namba kama ulivyofanya, but kwa ruhusa yako naomba kusema kwamba hizo ni wishes tu

  1. Hapa umegusa kwenyewe kwani nami nikiangalia naona watoa huduma na si actual producers ([FONT=&amp]hii ni mbaya sana Kiuchumi[/FONT]). Sasa issue ni kwamba tutabadilisha vipi hii trend?

  2. Mimi nipo SACCOS na ni kiongozi, hivyo najua zinavyoendeshwa na maamuzi yanavyofanyika hivyo nikakubali nyingi zimegeuka kama mawakala wa Benki. Vile vile ukiangalia masharti ya mikopo ya baadhi ya SACCOS na interest zao (2% per month) tena flat rate ni afadhali uende Bank kama NMB ([FONT=&amp]nimefanyia research hii kitu[/FONT]). But ni ujinga wa wanachama ndio unasababisha haya, kwa namna trend ilivyo sasa hivi mnaweza mkaitumia kwa faida yenu kama kikundi (SACCOS). Hizi Saccos zinakopeshwa na let say na CRDB Microfinance Plc kwa 9& p.a inakuwa vipi wao wakopeshe kwa 24% wanachama ambao ni wamiliki. (hapa kuna ongezeko la 15%). Sasa utagundua Saccos nyingi zimekodisha maeneo yenayolipiwa kodi kubwa, wameajiri watumishi wengi wanaolipwa pesa nyingi na defaulf rate ya wakopaji ([FONT=&amp]wanachama[/FONT]) ipo juu ([FONT=&amp]this has nothing to do with the banking strategies na huu ni mzigo unaopelekwa kwa wanachama kwa njia ya riba[/FONT]). But we can change this. How? Hii ni maada nyingine.

  3. Ni kweli siasa kwenye hivi vikundi zinazidi kuwa nyingi. But tatizo ambalo ninaliona ni vikundi vingi kukosa wasomi na vijana ambao ni visionaries, hivyo vinaingiliwa na wanasiasa kwa maslahi yao. Ndio maana natamani wajasiriamali vijana na wasomi waingie huko. Mimi ni mmoja wa wanachama wa TCCIA na ninasubiria majibu ya application yangu CTI.

  4. Hapa ninashukuru kwa ushauri, ila naomba nikupe report kuwa fund kidogo pamoja na vitendea kazi kama MIS, computers, usafiri wa offisini, copier, fax/telephone na office furnishings tayari vipo in place na leo nimetoka kupeleka memarts BRELA kwani ninasajili kama Company Limited by Guarantee then ndio natafuta Certificate of Compliance kwa Registrar wa NGO. Research ya products zinazotakiwa sokoni imefanyika kwa muda wa mwaka Mzima na nimeende shule (http://www.samtraining.org) kwa ajili ya kupull off hii kitu

  Thanks.
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  @ Entrepreneur & Komando

  ninashukuru sana kwa kugusia suala la manufacturing, come 2012 kama hatutatafuta dharura ya ku promote manufacturing in Tanzania tutaendelea kukumbana na mifumuko ya bei za bidhaa nyingi kutokana na importation ambayo inategemea sana US$

  vinginevyo kama watanzania tutaendelea kulala usingizi sitashangaa kuona mfumuko wa viwanda vidogo vidogo vya wageni especially chinese hapa tanzania na hali itakua ile ile kwani watasource raw materials kutoka huko huko kwao, sasa hivi wanatengeneza viatu kariakoo, yebo yebo, diapers na pads, tissue & toilet pappers, wana process mafuta ya karanga, chinese restaurants, wameanza kulima mboga mboga, na kuna wachina wengine wana mpango madhubuti wa kuanzisha poutry facility kubwa sana ya kulisha na kuteka soko la kuku aina ya broiler katika jiji la DSM and more to mention

  tuwe makini na tuweke wishez that will come true
   
 6. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu LAT, upo sahihi, but nahofia tutatoka nje ya maada tukianza kujadili hii mada kwani ni swala nyeti sana linalohitaji thread yake. Lakini kabla hatujafika huko ni vyema tukajiuliza tumefikaje kwenye hali hii? Tutatokaje hapa? Inajulikana kuwa Serikali imechangia sana kutufikisha hapa tulipo, na imeshindwa kututoa kama Taifa, sasa naomba tujikitite kwenye mambo tunayoweza kuyafanya kama sisi binafsi?

  It is estimated that, more than a half of the total population in this country are gainfully occupied. But let us ask ourself how many of these are Actual Producers in agriculture, mining, construction and industry? I do mean actual producers, not people who tell other people what to do or account for the past, or plan for the future, or distribute what other people have produced.

  And on average each actual producer support how many people (who are gainfully employed or not gainfully employed) beside him? Majibu ya maswali haya, yatatoa sababu halisi ya kwa nini uchumi wetu haukui kwa kasi na mfumuko wa bei unazidi kila kukicha
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu, asante sana

  your analysis in terms of querries is very deep and this carry out another context in another topic within our economy

  haraka haraka ninaweza kusema wish yangu ni kwamba tuanze kuachana na dhana ya kuwa 'wachuuzi' rather lets bank on promoting production sector (industrial or agricultural)
   
Loading...