Great wknd!

samahani mkuu kwa saa za bongo ni saa ngapi?
 
samahani mkuu kwa saa za bongo ni saa ngapi?
Itaanza 10pm lakini kama unataka kuangalia main event(Haye vs Klitschko) itategemea na undercard fights, my guess will be around 12am midnight.
 
leo nawahi home na full tnk sitaki zogo na TANESC0
 
Ladies' final: Sharapova Vs Kvitova

Petra Kvitova won her first Wimbledon title by beating 2004 champion Maria Sharapova 6-3 6-4 in the women's final.

117-109, 118-108, 116-110 - all for Klitschko
 
Waingereza wanashindwa kila kitu, mpira wabovu, tennis wabovu, ngumi ndo hivyo sijui wao bora katika nini?
 
Waingereza wanashindwa kila kitu, mpira wabovu, tennis wabovu, ngumi ndo hivyo sijui wao bora katika nini?
Umenikumbusha tennis player Tim Henman, Media walikuwa wanampandisha wimbledon ikianza hafiki sehemu. All mouth but no action.
 
Umenikumbusha tennis player Tim Henman, Media walikuwa wanampandisha wimbledon ikianza hafiki sehemu. All mouth but no action.

Andy Murray akishinda wanasema 'British Player' akishindwa utasikia 'Scottish man'
 
Mkuu ray b waingereza ni mabingwa wa kubwabwaja tu na si michezo.wazee wa blablaaaa!!!!!
 
Mkuu ray b waingereza ni mabingwa wa kubwabwaja tu na si michezo.wazee wa blablaaaa!!!!!<!-- google_ad_section_end -->

KAMA YANGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…