Great thinkers: Njooni tuumize kichwa tunusuru watu wa mtaa

Kuni azipate wapi?? Makamba akikukamata una pruni mti ulioupanda nakuambia anaweza kukupoteza mazima. Akheri aliyekamatwa na shamba la bangi anaoneshwa.
Huku nishati mbadala hakuna. Muda sio mrefu hata kuchemsha maji kwa jua utalipia
 
Mimi hata uwezo wangu wa kufikiri naona umepungua toka nimalize chuo nipo kitaa deal zote nazopiga zinajamba watawala wanafurahia tunaishi hata wakitoa fursa mpaka ikufikie wameshawapa watoto wao na marafiki zao solution ni kuendelea kuvumilia kuwa watanzania tusubiri kipindi cha pili labda nitasaidiwa na upepo
Ni hayo tu kama hujitumi piga mihayo tu
 
Kabla hatujatoa ushauri na kuweka mawazo yetu jambo la kwanza ni kubaini chanzo cha hii hali ngumu.

Wote tukishakuwa na ufahamu kuhusu chanzo hapo ndo tuanze kuwaza
1 nini kifanyike.
2 kwa namna gani kifanyike.
3 wakati gani kifanyike.
4 wapi pa kuanzia kukifanya.

Nadhani tuanzie hapo kwanza.
 
Tatizo la vijana Wa sasa nnataka uajiriwe Leo ulipwe mamilioni.
MTU umeanza business Leo kesho unataka ushindane kula bata nakina Dick sound nakina Dayamond
Hebu anzeni kuchange mindset zenu kwanza
Hakuna anayefunga biashara ikiwa anapata faida hata kidogo. lengo la kuanzisha biashara ni kupata pesa ya kujikimu kimaisha.
Umeanzisha biashara lakini haupati faida unajikuta unaanza kutoa pesa kwa ajili ya kuigharamia biashara yaani unaanza kutoa pesa kwa ajili ya kulipia pango, nauli na chakula kwenye biashara.
Hiyo inakuwa siyo biashara bali ni ujinga. Biashara lazima itoe pesa kwa ajili ya kulipia pango, nauli na chakula, Tofauti na hapo ndiyo maana unaona watu wanafunga biashara maana ni hasara.
Kwa ulichokiandika unaonesha haujawahi kufanya biashara yoyote. Watu walioajiriwa hufikiri kufanya biashara ni rahisi. Utakuta mtu aliyeajiriwa anakomaa vijana mjiajiri mtaani kuna fursa nyingi sana. Sasa mwambie ache kazi ajiajiri usikie majibu yake.
THINK BIG
 
toka namaliza chuo sjawahi omba kazi na nnafanya biashara toka kitambo nnachoongea nakijua A_Z vijana matumain na matumiz ni makubwa kuliko kipato afu wanafanya business za kuigana bila ubunfu
 
Ni biashara gani unayofanya na ubunifu gani unaotumia ambao haujawahi kufanywa chini ya jua? Siyo kuigana sababu unachokifanya na wengine walishafanya, wameshafanya, au wanataka kufanya.. Kusema kuigana au kutokuwa na ubunifu siyo kweli.
 
mtu kafungua anauza supu ya pweza dar unaona piga hela na ww unaenda kuuza pweza sumbawanga ndo ww hapo sasa! Jitafakari utafunga sana biashara mzee
 
Ni wazi tatizo la ajira tz ni la kujitakia kutokana na mfumo tulio nao. Developed country kwa kiasi kikubwa tatizo la ajira linachangiwa na maendeleo ya science na technology.

Kwetu tz ni suala la viongozi kuwa wabunifu na kufungua heavy industries ila kuongeza uzalishaji na exportation of goods..hii itasaidia kuongeza nafasi za ajira.

Pia inabidi tubadili mfumo wetu wa elimu..tujikite sana kwenye vocational skills. Pia elimu ya chuo iambatane na additional skills like ujasiriamali kwa kila fani.
 
Mimi hata uwezo wangu wa kufikiri naona umepungua toka nimalize chuo nipo kitaa deal zote nazopiga zinajamba watawala wanafurahia tunaishi hata wakitoa fursa mpaka ikufikie wameshawapa watoto wao na marafiki zao solution ni kuendelea kuvumilia kuwa watanzania tusubiri kipindi cha pili labda nitasaidiwa na upepo
Ni hayo tu kama hujitumi piga mihayo tu
Dah asee inasikitisha sana.
 
Ni wazi tatizo la ajira tz ni la kujitakia kutokana na mfumo tulio nao. Developed country kwa kiasi kikubwa tatizo la ajira linachangiwa na maendeleo ya science na technology.

Kwetu tz ni suala la viongozi kuwa wabunifu na kufungua heavy industries ila kuongeza uzalishaji na exportation of goods..hii itasaidia kuongeza nafasi za ajira.

Pia inabidi tubadili mfumo wetu wa elimu..tujikite sana kwenye vocational skills. Pia elimu ya chuo iambatane na additional skills like ujasiriamali kwa kila fani.
Ni kweli kabisa mkuu lakini ni ngumu sana kufanikisha hilo katika nchi zetu kutokana na Hali ya uchumi wetu heavy Industry ni jambo gumu kulifikia.
Nadhani tungeangalia sector nyingine kwanza lakini hii sidhani kama itakuwa mkombozi kwa watz kwa nyakati hizi.

Lakini pia ni kweli kabisa watawala wameshindwa kuwa wabunifu na hata wanavyovibuni bado wananchi hawana elimu navyo.

Mifumo ya Elimu yetu nayo ndo kaburi baya kabisa.
 
Miii hua sielewagi hii policy ya tz. Ya viwanda, wakati tulipaswa kwanza kuwekeza serious kwenye kilimo..then tuhamie kwenye viwanda.
Alafu kipindi cha mwl. Nyerere tulikuwa tuna viwanda vingi tuu..lakini nowdays vimekufa
 
mtu kafungua anauza supu ya pweza dar unaona piga hela na ww unaenda kuuza pweza sumbawanga ndo ww hapo sasa! Jitafakari utafunga sana biashara mzee
Huo mfano ulioutoa siyo sahihi kwa 100%. Hapo kwenye mfano umechemka 100%
Biashara nyingi zinaanzishwa kwasababu ya mahitaji ya watu na upatikanaji wa bidhaa. Sumbawanga hakuna bahari na pia watu wengi hawatumii pweza. Pamoja na kusoma chuo lakini kwenye mfano umechemka mbaya.
Nikifungua kibanda cha kuuza pweza Dar siwezi kuuza? Kufa kwa biashara wa si kuigana ni ukosefu wa wateja. Ww unaweza kufungua kibanda cha pweza, na mimi nikaja hapo hapo karibu nawe nikaweka biashara lkn unaweza shangaa wateja wako wakaja kwangu.
 
Picha ya kimashine tafadhali GT

Base yake ina rubber unapokandamiza chini upande wa kulia kuna lock ukizungusha ile rubber inajilock kwenye meza na vaccuum,
 
Attachments

  • 20190524_200840_HDR-1.jpg
    20190524_200840_HDR-1.jpg
    216.8 KB · Views: 39
Ni wazi tatizo la ajira tz ni la kujitakia kutokana na mfumo tulio nao. Developed country kwa kiasi kikubwa tatizo la ajira linachangiwa na maendeleo ya science na technology.

Kwetu tz ni suala la viongozi kuwa wabunifu na kufungua heavy industries ila kuongeza uzalishaji na exportation of goods..hii itasaidia kuongeza nafasi za ajira.

Pia inabidi tubadili mfumo wetu wa elimu..tujikite sana kwenye vocational skills. Pia elimu ya chuo iambatane na additional skills like ujasiriamali kwa kila fani.
Mkuu, hapo kwenye Serikali kufungua viwanda it's not like you think. Huko nyuma Serikali Iliwahi kuwaza km unavyowaza wewe sasahivi ikataifisha viwanda karibia vyote vilivyo chini ya watu binafsi ikaanza kuviendesha yenyewe lakini ilifeli vibaya sana....

Ikawa bora hata kipindi viwanda vinamilikiwa na watu binafsi sera ya Utaifishaji wa vwanda ilikua ni Mzigo mzito ambao serikali ilishindwa kuubeba, wakapata funzo....

Kwa sasa serikali inachofanya ni sio kujenga yenyewe viwanda ama kuviendesha, bali kuhimiza watu binafsi wawekeze kwenye industry hiyo huku yenyewe ikiweka mazingira bora kwa wao kufanya hivo

Sera ya viwanda ya JPM ni ngumu mno kutekelezeka maana kwa sera hiyo serikali inategemea watu binafsi ndio wafungue viwanda huku yenyewe ikifaidika kutokana na Kodi lkn pia wananchi wake kuajiriwa kitu ambacho ni kigumu kwa sasa kwa kuwa mazingira ya biashara YAMEKUWA magumu mno

Sera ya kilimo mfano, Mtu anaweza akawekeza shambani akalima hata eka 100 za mahindi akivuna mf. gunia 2000 akataka kuuza soko la ndani hakuna wa kununua zote hizo maana sekta ya viwanda (manufacturing) bado haieleweki, sasa soko kwakua ni dogo akataka kuuza nje nako ni shida Mipaka inafungwa matokeo yake ndio unaona mahindi yanazagaa tu bei nayo inashuka mpk 500/kilo bisnes as Usual

Tunarudi kule kule Mazingira hayajawa rafiki kwa sekta kuoperate smoothly
 
Nimekuelewa mkuu...ila serikali inatakiwa itengeneze mazingira na sera nzuri za kuwavutia wawekezaji. Wee angalia mahusiano yaliyopo kati ya wafanyabiashara wakubwa na serikali yalivyo mabaya. Hili nalo ni doa kwa taifa letu
 
Huo mfano ulioutoa siyo sahihi kwa 100%. Hapo kwenye mfano umechemka 100%
Biashara nyingi zinaanzishwa kwasababu ya mahitaji ya watu na upatikanaji wa bidhaa. Sumbawanga hakuna bahari na pia watu wengi hawatumii pweza. Pamoja na kusoma chuo lakini kwenye mfano umechemka mbaya.
Nikifungua kibanda cha kuuza pweza Dar siwezi kuuza? Kufa kwa biashara wa si kuigana ni ukosefu wa wateja. Ww unaweza kufungua kibanda cha pweza, na mimi nikaja hapo hapo karibu nawe nikaweka biashara lkn unaweza shangaa wateja wako wakaja kwangu.
Sasa hapo ndipo mnapofeli nnashindwa kusoma gap
 
Back
Top Bottom