mATATIZO YANAKUPIGIA HODI bRODA!
Angalia sana watu wa jinsi hiyo, huenda unapigiwa hesabu ya fumanizi!
!
Well noted.... and strongly appreciated....!What DO YOU HAVE IN MIND? She likes you! Are you ready for it? If I were you, I would run away fast, fast, very very very fast!!!! Mapenzi kikohozi, ukianza kula mzigo, then one day jamaa atawafuma live! Do you have an idea what he will do? Likely, he will harm you. Ask yourself, a wife of a friend and neighbour, does she worth of all those suffering on your side? Wanawake wako wengi!
mnhhh...jibu maswali yafuatayo then sie ndio tupate nafasi ya kukushauri
1-yeye ameolewa na mmewe unamfahamu..je wewe umeoa? YES
2-huja sebuleni kwako?..kufanya nn?...na kwanini huja wakati mmewe kasafiri? BINAFSI SIJUI
3- mke wa mtu ni sumu..unalijua hilo? YES
4- mlishawazhi kutamkiana mambo yoyote ya mapenzi? NO, and NO PLAN
5-anamfahamu mkeo au hata girlfriend wako? NO, BUT SHE IS AWARE OF MY MARITAL STATUS
6- ushawahi kusikia mtu kaliwa kiboga na kupigwa picha za video na mnato kisha zikabandikwa mitaani?...ungependa uwe mmoja kati ya hao walowahi kuliwa kiboga kisa mke wa mtu? MUNGU ANIEPUSHE MBALI KWA KILA NAMNA
7- cha mtu mavi ukikiona kiteme..au umesahau nahau na misemo yetu ya kale? NEVER FORGOTEN
KAMA MAJIBU YOTE NI NDIYO...ACHA MARAMOJA KUMFIKIRIA KIMAPENZI MKE WA MWENZAKO...KAMA NI HAPANA ANZA KUMTONGOZA NA MMEWE AKISAFIRI NEXT WEEK MLE KIBOGA... NA KAMA MAJIBU NI SIJUI BASI MUENDELEE NA STORI ZA KAWAIDA NA AWE RAFIKI YAKO MPAKA MMEWE AJUE KUWA WEWE NA MKEWE NI MARAFIKI WEMA..ni maoni tuu
Umesema anajiheshimu inakuwaje anakuja chumbani kwako nakukutaka kimpenzi mke wa mtu heshima hapo iko wapi.
inaoneana unamtaka kaa mbali kijana achana na wake za watu
Tunaishi jirani sana kiasi kwamba kila siku jioni lazima tuonane, ameolewa nami nafahamu hilo, hujiheshimu kwa kiwango chake, na mume wake huwa ni mtu asiyekuwepo mara nyingi za wiki (kama siku 4/5 lazima anakuwa hayupo kwa wiki).....! Lakini kila siku akiwepo mwanaume huyu, huyu dada anakuwa busy kiasi kwamba tunasalimiana kwa mbali tu, then huyooooo amepita.... Ila kama mzee hayupo, basi hujiachia na mara nyingine kama nimekaa sebuleni kwangu huja na kukaa nami, tena karibu; (mara nyingine hadi nashtukia mapaja yanagusana.....!, but not naked)....! Sasa wandugu nawauliza, hii body language ina ujumbe gani?
Nawasilisha...
Kwani wewe una upungufu wa Nguvu Za Kiume? Mwanamke aliyeolewa anakuja mpaka sebuleni kwako halafu unamwacha hivi hivi? Huyo anahitaji msaada wa haraka, mpatie tafadhali, au kama vipi naomba unianganishe naye huyo m-dada...!