Umejaribu bro. naweza kukupa marks 15%By me naamin kuwa mapenz ya vijna ni magum kutokan na kupanga mlima I mean kupitia changamoto nying lakin wazeee wanafurahia kwan wao ni kushuka
Nikitaka kuziba wasijue model ya simu ninayotumia kama wewe inavyoonekana nafanyaje?
Nakupa 20% umejaribu kiasiKwa mtizamo wangu picha inamaana ya kwamba wazee tuwaheshimu maana wameona mengi,sisi tunayoyaona au kupitia wao wamepitia mambo hayo miaka mingi iliyopita wakiwa vijana kama sisi.
Ndo maana kwenye picha vijana wanaeenda kushangaa bahari wazee wenyewe wanarudi.
Wewe haionekani but mi napenda iwe hivi kakaNikitaka kuziba wasijue model ya simu ninayotumia kama wewe inavyoonekana nafanyaje?
20%Mahusiano yamejengwa katika njia isiyo fahamika baina ya wote wawili, uvumilivu na kuaminiana Ndio kinga pekee ya kuyashinda madhaifu yenu, one day utasema yaliyo pita si ndwele tuna experience na mengi tugange ya mbele...
Habari za muda huu great thinkers.
Huu uzi naomba tufanye vitu vya kigreat thinking tuoneshe umwamba kwenye thinking capacity.
Kinachotakiwa hapa ni kitu kidogo tu ni either kuandika neno ama kutuma kapicha au kudisplay pattern yeyote au kufanya kitu chochote ambacho unahisi kipo katika lugha fulani ya kujificha ambayo inabidi utumie akili ya ziada ili uweze kutatua
Haya magreat thinkers wenzangu kwa pamoja tuoneshe umwamba wetu humu. Mimi naanza na kutuma hii picha, very simple picha but unahitaji uwe great thinker kweli narudia tena uwe great thinker kweli na utulie kweli ili uweze kuitafsiri
AYA KARIBUNI
View attachment 1687244
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Umejitahidi nakupa 35% keep it up!!Maisha ni sawa na kupanda mlima wakati unayaanza "Ujanani" ila ukiupanda mlima huo vizuri kwa ushirikiano na mkeo basi huko uzeeni mtaishi maisha mazuri na yenye furaha coz mtakua mmejijenga "Kushuka juu ya huo muinuko au kidaraja"
Picha pia inafundisha ushirikiano wa Mke na Mume wakati mgumu na wakati wafuraha wa maisha yenu kua kitu kimoja na kushirikiana kwenye shida na raha pamoja na kuvumiliana.
Umiza akili wewe sio kila siku unaongea upumbavu tuHichi ndo kipimo Cha akili uko bara sio
Sawa but you deserve only 10%Picha inaonyesha wale wapenzi vijana au wanandoa wanaelekea sasa kwenye maisha ya ndoa huku wazee wakitoka kwenye hayo maisha kusubiri kifo