Dkt Kilembwe
Senior Member
- Apr 25, 2015
- 154
- 102
Grayson M Nyakarungu
Sitaki kutajwa kwenye magazeti wala majukwaa, wala tv, mimi nilishakamirisha jukumu langu la uthubutu wa kuchukua hatua ya kuanzisha chama kipya, baada ya hapo tuliwakaribisha watu wengine na ninashukuru sana Mungu kwa kuona chama hiki kinasonga, nilishawapa baraka zote ndugu zangu hasa Profesa Kitila Mkumbo , kuendeleza chama kwa kasi zao zote.
Pamoja na mgogoro wa kiutendaji uliotokea kwa mimi kumpinga mtu asiye na quality za kuwa kiongozi katika ngazi fulani kubwa, lakini kwa sasa amechaguliwa na ndiye katibu wa chama kikatiba.
Nashangaa kuona gazeti fulani bado linanitajataja utadhani nililiomba linitetee au linisemee.
Mvutano ule niliuacha baada ya kugundua kuna chama kinafurahia mgogoro wa mimi na Samson Mwigamba , pia kikiitumia kama kete ya kujiimarisha na kuumiza wanasiasa kadhaa akiwemo kitila na Zitto bila huruma wala bila kukumbuka walipokitoa chama chao.
Baada ya kuona hayo niliacha kila kitu na kutoa baraka kwa professor Mkumbo, waendeleze chama na kumshauri Mzee Kadawi Lucas Limbu kuweka majeshi chini tusimame kama wamoja, Wakati CHADEMA ikiwafukuza akina Mwigamba walikuwa badoo wanadhani wataweza kupambana nao, lakini niliwapa warning kuwa hawataweza na waliniskiliza tukaungana.
ACT-Wazalendo IWE YA WOTE WATANZANIA, TUFUNDISHE WATANZANIA MAANA YA SIASA
NYAKARUNGU Jr