Grayson Nyakarungu amjibu Kadawi Lukas Limbu

Grayson Nyakarungu amjibu Kadawi Lukas Limbu

Hayo maelezo tu yanaonesha mhusika hajielewi.....
 
Mpwa nimecheka sana. Nikaona haina tofauti na hii story hapa chini


KUFUMANIWA KUSIKIE TU. Jamaa kafumaniwa na mke wa mtu,akapigwa lakini akaweza kuchomoka uchi mpaka kwake....
MKE:Hee...kunani?mbona hivyo?
MUME:Majambazi mke wangu, wamenikamata,wameniibia kila kitu mpaka nguo na kunipiga.
MKE:Naona wamekuvalisha na condom...
MUME:Aaah..condomu nimenunua kujistiri baada ya kuona niko uchi kabisa.


Huyo jamaa kabaki nanihii tu sasa hivi......

nimecheka sanasss!
 
Already bought. . ! The funny thing is THE PRICE IS NOT COMPETITIVE

Unafikiri Bilioni karibu 2 Za advance walizopewa karibuni ni ndogo ( ikiwemo milioni 700 ya karibuni ) ..Mimi nasikitikia vipaji vilivyoponzwa ....Huyu Nyakarudu ...ambaye kampeni ya washa TAA juani ilimpa umaarufu ,Kina mwampamba na Juliana walikua wabunge wanaongoja KUAPISHWA
 
Wasaliti wanasafari ndefu kutoka CHADEMA hadi ACT Tanzania,kutoka ACT Tanzania mpaka ACT wazalendo na bado wanazidi kusonga mbele,kila wanapokwenda hapafai.

Dhambi ya usaliti inaweza ikakufanya ukawa kichaa.

Safari ya ACT ndio kwaanza imeanza, shida kubwa ni direction, hadi sasa hawajulikani wanaenda wapi!!!
migration.jpg
 
Kuanzisha chama ni kazi inayohitaji watu makini sana ili kuweka msingi na muelekeo. Mpaka hapa sijaelewa hasa mgogoro wao kiini chake ni nini!
 
Back
Top Bottom