OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Mkuu inawezekana kujifunza kama una nia kweli. Binafsi nilianza kujifunza kupitia YouTube na kusoma kwenye blogs na vitabu na nakumbuka kwa mara ya kwanza nilijaribu kutengeneza tangazo hili hapa chini kwa kutumia adobe photoshop, kwa kuanza kiukweli binafsi naona nilijitahidi maana ndo ilikuwa kazi ya kwanza kabisa kuanza nayo na niliifanya bure kwasababu ya wasiwasi wa kutokuwa mzoefu sana. Pitia YouTube kwa sana, soma vitabu ila hakikisha una programs ambazo zitakusaidia kufanya kwa vitendo kile unachjifunza, kama vile adobe photoshop, Illustrator, Indesign na zingine kutegemeana na uhitaji wako, kuwa mtu wa kufuatilia sana. View attachment 1391082
Asante mkuu nina nia ya kweli kujifunza hizi mambo maana ulimwengu kasi na ni bora kujiongeza mapema na mateknolojia na mavitu kama hizo, sasa mkuu hizo progrmm nazipataje? zinauzwa au zipo tu google?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kuchora?Wakuu khabari zenu, naomba kujua namna ya kujifunza graphics design ni njia gani nitumie ili niweze kujua?
Napenda kujifunza vitu vipya ivyo naomba muongozo wa namna ya kufahamu na kuelewa kabisa graphite na kuja kuwa mtaalam yani ni base na kufanya hizi mambo napenda kinoma wakuu.
Asanteni.
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua mkuu ila kitambo sana sijachora ..nakumbuka nilikuwa mchoraji mzuri sana wakati niko secondary ..Unajua kuchora?
Sawa kaka shukrani sanaProgram zipo zinauzwa lakini pia zipo ambazo unaweza kupata bure kwa kudownload. Binafsi program nilidownload getintopc. Unaweza ingia humo kupakua hizo programs na zingine nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una kipaji cha kuchora inakuwa rahisi utahitaji tu kalamu (stylus) na computer ya touch screen, hata ipad ama Android tablet inafaa.Najua mkuu ila kitambo sana sijachora ..nakumbuka nilikuwa mchoraji mzuri sana wakati niko secondary ..
Em nipe muongozo bro..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah asante sana bro tuko pamoja umetisha ..napenda kujifunza vitu vyingi vyingi na huwa nikianza adi nijue ..shukrani sana mkuu kwa muda wako..Kama una kipaji cha kuchora inakuwa rahisi utahitaji tu kalamu (stylus) na computer ya touch screen, hata ipad ama Android tablet inafaa.
Njia hii unatumia kipaji chako, software inakuwa haina mambo mengi. Ni njia rahisi pia kujifunza.
Kwa vifaa kama Tablet za Android, ipad ama touch screen pc za kawaida zinafaa kuanzia ila kwa proffesional kabisa wanatumia vifaa vizuri zaidi kama vya wacom na bei zake pia ni ndefu sana, dola 1000 kupanda.
Njia nyengine ambayo hata kama huna kipaji unaweza kutumia ni kupitia software kama photoshop, njia hii unakuwa una manipulate mistari, maumbo, rangi etc kutengeneza graphics mbalimbali. Ni ngumu utumiaji wake na inahitaji uvumilivu wakati unajifunza. Zipo software kama
-Adobe photoshop
-Adoble Illustrator
-Gimp na nyenginezo.
Link ya photoshop nii hapa kama una pc unaweza kuidownload na kuitest
http://sfpcomputers.com/steve/Adobe.Photoshop.CS5.Portable/Adobe.Photoshop.CS5.exe
Tutorial youtube.
Hizi program zipo free ku download kutoka google?Mkuu inawezekana kujifunza kama una nia kweli. Binafsi nilianza kujifunza kupitia YouTube na kusoma kwenye blogs na vitabu na nakumbuka kwa mara ya kwanza nilijaribu kutengeneza tangazo hili hapa chini kwa kutumia adobe photoshop, kwa kuanza kiukweli binafsi naona nilijitahidi maana ndo ilikuwa kazi ya kwanza kabisa kuanza nayo na niliifanya bure kwasababu ya wasiwasi wa kutokuwa mzoefu sana. Pitia YouTube kwa sana, soma vitabu ila hakikisha una programs ambazo zitakusaidia kufanya kwa vitendo kile unachjifunza, kama vile adobe photoshop, Illustrator, Indesign na zingine kutegemeana na uhitaji wako, kuwa mtu wa kufuatilia sana. View attachment 1391082
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una kipaji cha kuchora inakuwa rahisi utahitaji tu kalamu (stylus) na computer ya touch screen, hata ipad ama Android tablet inafaa.
Njia hii unatumia kipaji chako, software inakuwa haina mambo mengi. Ni njia rahisi pia kujifunza.
Kwa vifaa kama Tablet za Android, ipad ama touch screen pc za kawaida zinafaa kuanzia ila kwa proffesional kabisa wanatumia vifaa vizuri zaidi kama vya wacom na bei zake pia ni ndefu sana, dola 1000 kupanda.
Njia nyengine ambayo hata kama huna kipaji unaweza kutumia ni kupitia software kama photoshop, njia hii unakuwa una manipulate mistari, maumbo, rangi etc kutengeneza graphics mbalimbali. Ni ngumu utumiaji wake na inahitaji uvumilivu wakati unajifunza. Zipo software kama
-Adobe photoshop
-Adoble Illustrator
-Gimp na nyenginezo.
Link ya photoshop nii hapa kama una pc unaweza kuidownload na kuitest
http://sfpcomputers.com/steve/Adobe.Photoshop.CS5.Portable/Adobe.Photoshop.CS5.exe
Tutorial youtube.
Nyingi bro za kununua dah izo free hazina mambo mingi ya maana ..wee andaa kama paund kama 1000 iviHizi program zipo free ku download kutoka google?
na zinaingia kwenye pc yeyote au kuna specifications za ziada ili zifanye kazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
very usefulMkuu inawezekana kujifunza kama una nia kweli. Binafsi nilianza kujifunza kupitia YouTube na kusoma kwenye blogs na vitabu na nakumbuka kwa mara ya kwanza nilijaribu kutengeneza tangazo hili hapa chini kwa kutumia adobe photoshop, kwa kuanza kiukweli binafsi naona nilijitahidi maana ndo ilikuwa kazi ya kwanza kabisa kuanza nayo na niliifanya bure kwasababu ya wasiwasi wa kutokuwa mzoefu sana. Pitia YouTube kwa sana, soma vitabu ila hakikisha una programs ambazo zitakusaidia kufanya kwa vitendo kile unachjifunza, kama vile adobe photoshop, Illustrator, Indesign na zingine kutegemeana na uhitaji wako, kuwa mtu wa kufuatilia sana. View attachment 1391082
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza download kwenye baadhi ya website kama getintopc, search Google utaipatavery useful
hivi hii adobe Photoshop ni free?
asanteUnaweza download kwenye baadhi ya website kama getintopc, search Google utaipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nimeanza Interface na Effects hope nitatoboaMkuu inawezekana kujifunza kama una nia kweli. Binafsi nilianza kujifunza kupitia YouTube na kusoma kwenye blogs na vitabu na nakumbuka kwa mara ya kwanza nilijaribu kutengeneza tangazo hili hapa chini kwa kutumia adobe photoshop, kwa kuanza kiukweli binafsi naona nilijitahidi maana ndo ilikuwa kazi ya kwanza kabisa kuanza nayo na niliifanya bure kwasababu ya wasiwasi wa kutokuwa mzoefu sana. Pitia YouTube kwa sana, soma vitabu ila hakikisha una programs ambazo zitakusaidia kufanya kwa vitendo kile unachjifunza, kama vile adobe photoshop, Illustrator, Indesign na zingine kutegemeana na uhitaji wako, kuwa mtu wa kufuatilia sana. View attachment 1391082
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza download kwenye baadhi ya website kama getintopc, search Google utaipata
Sent using Jamii Forums mobile app