GRAPHIC-VIDEO-Magaidi wawili wa Hamas wauawa huko Gaza

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,929
Reaction score
6,030
Magaidi waliokuwa wanatafutwa na Majeshi ya Israel kwa mauaji ya Oct 07,2023 hatimaye nao jana walipatikana na kuuwawa walipokuwa kwenye Gari lao.

Adiosamigo gallow bird zitto junior na 100 others Tunawasikia wakiongea lugha ya majini wengine lugha hiyo hatuijui kwa faida ya wengi tunaomba mtueleze magaidi hao walikuwa wanabwabwaja nini?

Apandacho mtu ndicho atakachokivuma
 
Attachments

  • 1772985483886.mp4
    3.2 MB
  • 1772985379673.mp4
    12.8 MB
Magaidi waliokuwa wanatafutwa na Majeshi ya Israel kwa mauaji ya Oct 07,2023 hatimaye nao jana walipatikana na kuuwawa walipokuwa kwenye Gari lao.

Adiosamigo gallow bird zitto junior na 100 others Tunawasikia wakiongea lugha ya majini wengine lugha hiyo hatuijui kwa faida ya wengi tunaomba mtueleze magaidi hao walikuwa wanabwabwaja nini?

Apandacho mtu ndicho atakachokivuma
Tatizo sio hao wawili tatizo huko Tela Aviv mnazika lini vifusi vyenu
 
Back
Top Bottom