Duuh!! Tarehe tano May itakuwa siku ya mwisho kuvuta suareti.
Sijui mijitu inataka kuishi milele. Vuteni mtuachie resource zetu chache
duh, ushanikata ngoja nilale
That's what it means when you see it written "ONYO, UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO".
Sigara niliweza kuacha, pombe niliweza kuacha, Bangi niliweza kuacha..lakini pale chini!!! mungu ninusuru na maradhi mabaya! nimeshindwa kabisa kuacha uzinzi ingawa najua madhara yake!