Graphic: Madhara ya sigara ktk picha

m_kishuri

JF-Expert Member
Jan 27, 2010
1,484
372
gal_smoking_1.jpg

adesf1.jpg


image010.jpg


1298211491-28.jpg


badlung.jpg


smoking-health-effects.jpg


How%252BTo%252BStop%252BSmoking%252B%252BQuit%252BCigarettes%252B%252BBest%252BWay%252BStop%252BEffects%252B%252525281%25252529.jpg


NEED I SAY MORE?
 
duh, ushanikata ngoja nilale
Ivuga pole sana kwa kukukata kiu, lakini tafadhali kama wewe ni mvutaji, basi fanya hiyo uliyovuta jana ndio iwe ya mwisho. Goso halina maana hata kidogo.
 
mh ngoja nizitupe hizi nilizokuwa nazo uwii, umetoa somo hapa aisee, asante sana,, maana nazivuta mno,, especially nikiwa na assignment ngumu! Hebu tupe mbinu za kusaidia kuacha kabisa mkuu!
 
Ukianzia kwa wakulima wa tumbaku..:mvutaji:......
...............Serikali ipige marufuku ulimaji wa tumbaku.....:A S-frusty:
 
mh! hivi vitu sijui vipoje! ni kama ukimwitu.
mtu mwenye picha za ukimwi nazo aweke
hapa basi ili atukatishe ham kabisa.
 
nipovuta hatasijisikii kubadilika chochote kila siku pakti,,,,,kweli tunajichimbia kaburi ,,
 
Watu wagumu sana, na shetani ana nguzu zake, wengine wataona hizi picha lakini wapi!
 
Mmh, aisee. Ila hiki kitu kilichowekwa kwenye sigara mimi kinanishangaza sana. Tunaona haya mapicha mara kibao, lakini kesho kutoa mia kununua sigara sio tatizo kabisa...ipo kazi
 
Back
Top Bottom