Graphic: Madhara ya sigara ktk picha

Graphic: Madhara ya sigara ktk picha

m_kishuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2010
Posts
1,484
Reaction score
372
gal_smoking_1.jpg

adesf1.jpg


image010.jpg


1298211491-28.jpg


badlung.jpg


smoking-health-effects.jpg


How%252BTo%252BStop%252BSmoking%252B%252BQuit%252BCigarettes%252B%252BBest%252BWay%252BStop%252BEffects%252B%252525281%25252529.jpg


NEED I SAY MORE?
 
duh, ushanikata ngoja nilale
Ivuga pole sana kwa kukukata kiu, lakini tafadhali kama wewe ni mvutaji, basi fanya hiyo uliyovuta jana ndio iwe ya mwisho. Goso halina maana hata kidogo.
 
mh ngoja nizitupe hizi nilizokuwa nazo uwii, umetoa somo hapa aisee, asante sana,, maana nazivuta mno,, especially nikiwa na assignment ngumu! Hebu tupe mbinu za kusaidia kuacha kabisa mkuu!
 
Zinatisha,kama ndo hivi Mangi hanioni tena dukani kwake.

Big up NM, hizo utakazosave kwenye feg wananunulie mabambino wako japo tray la mayai waongeze vitamini muilini badala ya kuwatajirisha Mangi na Mpemba.
 
That's what it means when you see it written "ONYO, UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO".
 
Ukianzia kwa wakulima wa tumbaku..:mvutaji:......
...............Serikali ipige marufuku ulimaji wa tumbaku.....:A S-frusty:
 
mh! hivi vitu sijui vipoje! ni kama ukimwitu.
mtu mwenye picha za ukimwi nazo aweke
hapa basi ili atukatishe ham kabisa.
 
mh! hivi vitu sijui vipoje! ni kama ukimwitu.
mtu mwenye picha za ukimwi nazo aweke
hapa basi ili atukatishe ham kabisa.


Kwa kuona picha utakata tamaaa au utaacha kucheza na vyanzo vya hiyo kitu??

images

images


images

aids-person-patients_~u30200607.jpg

aids-patient-marceline_~1263295.jpg



images

images
 
nipovuta hatasijisikii kubadilika chochote kila siku pakti,,,,,kweli tunajichimbia kaburi ,,
 
Watu wagumu sana, na shetani ana nguzu zake, wengine wataona hizi picha lakini wapi!
 
Mmh, aisee. Ila hiki kitu kilichowekwa kwenye sigara mimi kinanishangaza sana. Tunaona haya mapicha mara kibao, lakini kesho kutoa mia kununua sigara sio tatizo kabisa...ipo kazi
 
Back
Top Bottom