Habarini wadau,
Nimewakumbuka sana.
Anyways, kuna nafasi ya kazi na anahitajika Graphic designer and social media expert.
Vigezo :
1. Awe mwanamke
2. Asiwe na majukumu ya kifamilia
3. Muaminifu na asie muongomuongo
4. Awe tayari kujifunza new skills
5. Ajue kuzungumza kiingereza, akijua lugha ya kimataifa (French/german/Spanish /Arabic) ya ziada ni added advantage.
6. Akijua kupika vizuri ni added advantage.
7. Sehemu ya kazi ni Zanzibar.
For more information please DM me.
One love!