Graphic Design Class

Graphic Design Class

reandle

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
11,166
Reaction score
8,159
Wadau,

Kuna mambo yangu mengi yanakwama kwa kutofahamu Graphic Design. Na kwa kuwa nakuwa na mahitaji ya mara kwa mara imenithibitikia kwamba nahitaji kufahamu hili jambo kuliko kutegemea watu. Kutokana na ukweli huo, naomba kufahamu yafuatayo:

  1. Ili uwe vizuri kwenye graphic design, ni lazima uwe mtaalamu wa kuchora au si lazima?
  2. Ni chuo gani kizuri hapa Dar? Hapa naomba kuweka jambo moja wazi. Mimi nahitaji kuifahamu graphic design na wala sina ndoto za kuwa tutor wa hiyo kitu. Nasema hivyo kwa sababu niliwahi kuchukua daftari la mshikaji mmoja aliekuwa anasoma Diploma ya IT pale UCC! Dah, yaani mle ndani nikakutana na minotisi kibao! I hate minotisi, na ukweli wenyewe ndio huo na hili silionei aibu kulisema. Hivyo basi, naulizia ni chuo gani ambacho wana-concentrate sana kwenye practical training badala ya kujaziana ma-compendium ya kusoma. What about UCC? Ni wazuri kwenye hii kozi maana naona hata ada yao ni nafuu sana ambapo basic graphic design ni 350K kwa wiki saba na advanced ni 600K kwa miezi miwili, each 2 hours/day.

Natanguliza shukrani wadau.
 
Duh... ina maana hili jamvi halina watu wa Graphic Designer??!! Still need your help
 
● Kuwa Graphics Designer si lazima awe nchoraji mzuri.
● Kitu kikubwa kwenye Graphics Designing ni ubunifu.Ukiwa mbunifu mambo ya Graphics Designing yatakubali vizuri sana.
● Kwa ushauri wangu, ninaona ungeanza kufuatililia hili suala kwenye internet.

Ni hayo tu ndugu...
 
chige Wapo ila personally found your questions a bit ambiguous. Ok but imma try answering them as good as i can.

First of ahh i do animations and graphic designs here and there, this is my youtube channel where i post my animations LINK:https://www.youtube.com/channel/UCH2PJuqL17nLElZ4NTARpcw , not much of my designs can be seen but i'm working on new animation and with it, a new place where everything i do can be accessed better.

KWANINI NIMEWEKA MY WORK?

-Despite the animations i do i actually consider my self a terrible painter, naweza kuchora kidogo ila kwene scale ya 1 - 10 naweza sema uwezo wangu kuchora ni kama 4. (I know i'm that bad).

-So bad kiasi kwamba kuna mda, jamaa mmoja on YouTube ambae ndo hua nafatilia tutorial zake (Great artist and animator BTW, channel yake is Draw with Jazza), alifanya maswali na majibu nkauliza ka inawezekana mtu kujifunza kuchora au ni kipaji tu unacho au hauna!! Nlibaatika kujibiwa, Majibu yake nakubaliana nayo na ni kweli kabsa.

So kwenye swali lako la kwanza ni kua Ni ngumu sana kukuta mtu kawa artist mzuri kama anapungukiwa kimoja kati ya hivo, uwe una artistic mind kidogo afu vingine unajifunza.

VIDEO YA MAJIBU YAKE: https://drive.google.com/file/d/0B4V7QyehEzrRaDhjNFZLVHlaVlE/view?usp=sharing

Comment: Ila kuchora is a skill i wish i had, so to compensate it i had to find dudes who can draw (as you can see on the latest animation), so as to boost up the quality of my work.

Kwenye swali lako la pili, it all depends on what you really want to know, do you want to just be good in Graphic designs!? or do you want certificates as well to show you're good in graphics and go get employed somewhere ?

Maana kama ni first kuna alot of content online za kukufundisha (mimi i learnt everything via youtube, taught my self everything). Ila kama unataka na vyeti juu well ni sawa pia, ushauri tu ni kua usiende vyuoni. Tafuta watu walio vizuri afu wanafanya training then enroll. Vyuoni ndo elimu yao hio usiyoitaka.

Anyways ndo views zangu hizo, query, question addition? share them ntajibu as much as i can.

CHEERS
 
● Kuwa Graphics Designer si lazima awe nchoraji mzuri.
● Kitu kikubwa kwenye Graphics Designing ni ubunifu.Ukiwa mbunifu mambo ya Graphics Designing yatakubali vizuri sana.
● Kwa ushauri wangu, ninaona ungeanza kufuatililia hili suala kwenye internet.

Ni hayo tu ndugu...
Thanks man for your advice. About creative mind, oh, am not sure but I think am not very far behind it. Mara nyingi ninapokuwa na shida na graphics, more often than not ni mimi mwenyewe ndie huwa natoa idea kwamba iwe hivi au vile... ingawaje huwa natoa chance kwa criticism lakini mara nyingi ideas zangu huwa zinakuwa accepted... huwa nakuwa na full image of what I want in my head kinachonishinda ni ku-transform hizo images into graphics... I think hii ndiyo creativity unayoizungumzia!!

Kuhusu kuanza kwenye internet, I take your advice kwa uzito mkubwa na kwavile asilimia kubwa ya mambo ninayofahamu nimeyafahamu kupitia net basi nadhani hili nalo naweza kupata angalau ABC... tatizo nilitaka short kati kutokana na kubanwa na muda lakini nakubaliana kabisa na ushauri wako coz' hata kama mtu unaamua kuingia kwenye formal class, ni vizuri kuwa na ABC ya hicho unachoenda kusoma! I planned to go to formal class before December but with advice, decided to postpone it to next year.

Thanks man... I'll work on it.
 
Hello Good Guy,
First thanks for your good advice.. about whether am in need of the certificate; f'uck the certificates... never interested with these shit since then! I believe even Tambaza High School crooks fail to sell my certificate only because my name is so unique... so, sina shida na hayo mavyeti though i know in some cases yanaweza kuwa na umuhimu... we never know what is gonna happen to our lives some decades or less to come!

I take your advice ambayo hata member mwingine ameitoa kwamba, nitaanza kwanza na online tutorials ili nifahamu ABC ya nini hasa nahitaji.

Thanks man...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom