Grand malta na kisukari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Grand malta na kisukari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Emeka Onono, Aug 24, 2011.

 1. E

  Emeka Onono Senior Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman naomba kuuliza wanajf,hivi ukiwa unakunywa grand malta kila siku inaweza kupelekea kupata ugonjwa wa kisukari? Kwasababu naona ina sukari sana,msaada plz!
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Kisukari hakisababishi na kula sukari nyingi so no.
   
 3. i411

  i411 JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Vitu vyenye sukari sana vinaweza kukupatia kisukari hasa kama kwenye familia yako kuna hako kahistoria ya kisukari. Kama kahistoria kapo jaribu kukata matumizi yako ya sukari itakupunguzia kero za kisukari
   
 4. m

  mams JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2011
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tumia kinywaji cha Balltica-bia isiyokilevi
   
 5. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Lipia promo, contact Invisible.

  Kisukari ni one part hereditary and one part bad lifestyle+poor eating habit+no exercises+all that comes in between. If you can fit Grand Malt somewhere there then ....
   
 6. Desteo

  Desteo JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 446
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sukari nyingi mwilini husababisha kisukari
   
 7. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Good answer, isipokuwa kwenye kahistoria,which means genetics,jambo ambalo sikubaliani nalo.Hizi sababu ni za ki-Freemason ambao siku zote hufundisha watu uongo ili kujaribu kuficha ukweli hasa kwa mambo ambayo they have got a hand.Kisukari kinasababishwa to a large extent na kongosho kushindwa kufanya kazi yake vizuri.Which means kama ukila sukari nyingi, ita-accumulate in the blood system.So kwa vyovyote vile kula sukari nyingi sio jambo la busara,kwa vile pamoja na kuhusishwa na kisukari,pia ina madini mengi ya P hosphorus ambayo yana accumulate kwenye lens na hatimaye kuleta upofu.
   
Loading...