Graduates wanahitajika sales executive

Aug 17, 2016
73
39
Are you a graduate? Are you passionate in sales? Then this is for you....An exciting opportunity for Sales executive position. Our client is looking for perfect candidates to join their sales team. The ideal candidates will be responsible for pursuing identified business prospects, participating actively in the planning and sales process for new business opportunities.

You must be registered with CvPeople Africa Tanzania to apply for this position.
Registration is free.
 
Kwanza mmeacha kuomba pesa inbox? Au bado..Mimi nasubiri muache huo mchezo alafu Ndio niombe hizo kazi
 
Huwa ninazichukia hizi Recruitment Agencies kinoma,yaan nikiona tangazo la kazi kutoka kwa hawa watu hata sijisumbui kuhangaika.Udalali kila mahali nyambaaaf!!!!
 
Kwanza mmeacha kuomba pesa inbox? Au bado..Mimi nasubiri muache huo mchezo alafu Ndio niombe hizo kazi

Huwa ninazichukia hizi Recruitment Agencies kinoma,yaan nikiona tangazo la kazi kutoka kwa hawa watu hata sijisumbui kuhangaika.Udalali kila mahali nyambaaaf!!!!

Habari,

Ni kweli kwamba kuna Recruitment agencies ambazo zinakwenda kinyume na sheria ya kazi ya Tanzania, ukiwa kama job seeker hupaswi kutoa pesa yoyote ili kupata ajira. Ni haki yako kuripoti mahali husika iwapo utachajiwa pesa yoyote. Ni upotoshaji wa jamii kusema Recruitment agencies zote zinafanya shughuli za kidalalai isivyo halali. Zipo agencies nyingi na kila moja huwa na utaratibu wake. Tafadhali kabla hujatuma maombi yako ya kazi kupitia agency, ichunguze kwanza na upate taarifa zake kamili kisha ufanye uamuzi. Ifikapo mahali utakapohitajika kutoa chochote sitisha zoezi na utoe taarifa kunakohusika. CvPeople Africa ikiwa na miaka zaidi ya 20 ikifanya kazi kila kona ya Afrika, haikuwahi kuchaji jobseeker wala haitowahi kumchaji jobseeker gharama zozote. Kazi yetu ni kutafutia waajiri wafanyakazi sahihi kwa ajili ya kufanikisha mafanikio ya kampuni husika. Uwapo na swali lolote kuhusu Huduma zetu, tafadhali usisite kuwasiliana nasi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom