Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,139
Mhmmm manyoyaTulia wee usifananishe kifo na usingiz.
Yaani wengine wasisome kisa wewe/nyie hamna kaziMbanano unazidi kuongezeka kitaa. Na bado vyuo vinachukua malighafi (new students) tu kuendelea kuzalisha.
Hivi kwanini sirikali isitumie approach za kiuchumi/kibiashara?
Yaani kwasababu Inventory (graduates walioko kitaa) bado ni kubwa, waache production (vyuo vifungwe kwanza) mpaka pale inventory itakapopata soko ndio waanze tena production.
umejiajili kubeti kitaalamuSimu yangu INA metar trader 4
Ndio ofisi yangu
Natamani niwambie ukweli ila kwa zile tabia zenu kabla ya kugraduate nashindwa nianzie wapi.
View attachment 942468
Chuo umesoma course gani?Mzee baba mpaka sasa nishaanza vibarua vya ujenzi kutafutia mtaji kidogo ili niingie field ya ufagaji kidogo
Usangoma labda!Kasoma nn mkuu
Dah nimecheka sana mkuu.Ila hali halisi utaijua soon.Msitutishe mbona kitaa cha kawaida tu kama tumeweza school tushindwe kitaa kina nini kikubwa kukomaa kama tulivyo komaa class
Ni kweli kabisa asee. Wengine walipata kazi tangu wako semester ya mwisho chuoFahamu kuwa hatufanani kwenye life
quiet a bitter truthelimu ya bongo kichwa maji.
Kweli kitaa nginja nginja. Hakuna mchezo huku. Fid Q anaimba "maisha ni kama kioo, ukiyachekea nayo yanacheka"Daaah madogo karibuni kitaa huku ni nginja nginja, kazi kazi.
Mambo sio rahisi kama kukaa vimbwetani.
Kweli kaka, tumebet sana mikeka kabla hatujapata michongo ya maana kitaaGraduate wa make sure kwenye simu zao hawakosi apps ya meta trader, ninja trader (FOREX) na mbet ( betting) nk ni kukomaa kwako tu kujua, wakati wanachek harakati zingine, kitaa kigumu ila Mungu pia ni mwema
Hakuna anayewatisha hapa. Kinachozungumzwa hapa ni uweli mtupu kwamba usije kitaa na matarajio makubwa sana. Kila kitu lazima kianzie from the scratchYaani nyie washija Bana mnajua kututisha Graduate wengi tumemaliza chuo tangia Mwezi wa saba, Maisha ya kitaa tunayajua , Majohoo tumeveaa Mwezi wa kumi tangia mwezi wa saba watu yupo tayari kitaa ,Wengine wamepata ajira hata kabla ya gradu , msitutishe bana tutanasurvive, Na maisha yanaendaje Ajira bahati ya mtu