Khantwe.
Nashkuru ndugu. ukisubiri mpaka wazitangazwe sio leo na watu wana apply elfu mbili. lakini kuna zile ajira wanazotangaziwa watu ma ofisini hua zipo nyingi, kwahiyo mtu una apply tu, nafasi ikiwepo hawawezi kukuacha maana utakuta nafasi ipo moja, kuepuka usumbufu na gharma za ku post kazi wakati we usha apply wanakuita kwenye interview alone, wakikupenda wanakuchukua.
Ajira ngumu sasa hivi lazima ukomae. Nina jamaa yngu kahangaika sana kitaa, kila sehemu anakosa ajira, mpaka internship hapati, nkamshauri we apply kwenye kampuni km offise attendant, wale wanaoandaa chai na kuwapelekea mabosi, huko huko ndani utapata channel. akaona wazo la kizushi lkn nikam push we nenda tu maana unafaidika nn kukaa mtaani si bora hata ukaoshe vikombe ofisini, jamaa akakubali akaenda akaanza, kuna siku mkurugenzi computer yake ilikua ipo slow sana, jamaa akamtel ampe amrekebishie, akachukua laptop yake akapiga code akawatoa wote, alipiga computer science, hadi boss akashangaa akamuuliza we kijana unaonekana mzuri wa computer unafanya nn hapa kazi km hii, akamtell mkuu nimehangaika sn kutafuta kazi miaka miwili sasa na maisha magumu nkasema badala ya kukaa mtaani bora nijishughulishe na chochote, basi yule mkurugenzi akawa impressed sana na kijana akasema watu km nyinyi ndo tunawataka mna juhudi, akainua simu yake akamgongea HR, siku ya pili kijana ameenda ofisini km IT Administrator, kitu 1.2 M, kabla ya makato, na benefits zingne kibao
Maisha safari ndefu, cha msingi kutokata tamaa na kumtegemea Mungu tu.