Graduate recruitment | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Graduate recruitment

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by AKON, Sep 12, 2012.

 1. AKON

  AKON JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hamjambo wana jf,, vipi kuna mtu aliapply juz juz kale ka tangazo ka graduate kwenye zoom?? any updates?
   
 2. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ndiyo mkuu. Nadhani week hii walikuwa wanapigia watu simu kuwaita kwenye training kesho. Jamaa yangu alipigiwa jana.
   
 3. Uhalisia Jr

  Uhalisia Jr Senior Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku ya mwisho wa kutuma maombi ni 14 Sep, inakuaje washaita kaka? Bado bana
   
 4. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kaaga hivyohivyo na ubishi wako. Inategemea na udadi ya watu wanaohitaji, sasa kama imetosha wataendelea tu kusubiri tarehe? Au may be wanaita watu kwa awamu. Watu wamepigiwa simu mkuu kuwa training ni tarehe 13 alhamisi saa tano asubuhi. Kama unabisha basi endelea kusubiri.
   
 5. AKON

  AKON JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  they have called me today in the morning!,,, trainning kesho pale millenium towers saa tano,,,,,,.. kuna mwenye details nyingine? af inakuwaje trainning bila interview?
   
 6. Uhalisia Jr

  Uhalisia Jr Senior Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnaenda kutembeza biashara maofisini.
   
 7. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  mi nlienda kwa jamaa alitangaza kazi apa jf da kumbe kazi ya kutembeza mahoyipoti na vijiko mtaani, nliondoka bila kuaga
   
 8. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha
   
 9. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hiyo ni ile kazi yetu ilee ya kutembeza bidhaa za forever living....Me nitakua wa kwanza kukuungisha ukiikubali kazi, Nataka dawa ya mswaki maan!
   
 10. s

  siata Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  jamani mliotoka kwenye hii training naombeni mtujuze yaliyojili hko millenium towers.
   
 11. Quirine

  Quirine Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walienda kufundishwa kuhusu ujasiriamali ndugu yangu si kupata kazi ya kuajiriwa
   
 12. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,266
  Likes Received: 1,197
  Trophy Points: 280
  duh!kazi ipo
   
 13. Bravo Engliash

  Bravo Engliash Senior Member

  #13
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mimi ni mmojawapo, nilipigiwa simu na nilenda pale Millenium towers ilikuwa alhamisi iliyopita....tulikuwa wengi takriban watu 200 hivi....walio-graduate chuo mwaka huu na kurudi miaka ya nyuma...kikubwa zaidi walitupa TRAINING ya Ujasiriamali/Kujiajiri/Ajira bianfsi.....nimeipenda ilikuwa NZURI.....binafsi imenifungua mawazo/fikra. Baada ya training...kwa yule anayehitaji kufanya nao kazi inabidi kuwasiliana nao ili wakuite.
   
 14. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #14
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wakikuambia utoe kitu kidogo ili kujiunga nao utatoa?
   
Loading...