Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,617
- 34,062
- Thread starter
- #121
Wanazingua. Utahangaika bure tu.Mkuu naomba unipe ABC za kampuni ya intelligence securico Ltd,
-mshahara
-mashariti ya ajira zao
Kama unahitaji kweli kazi ya ulinzi kwasasa nenda G4S, SGA, Warrior Insight au KK Security.
Kwa sasa hizo ndio kampuni zinazotrend hapa nchini.
Bandari zaidi ya 85% wamechukua KK.
Malindo karibu yote ya migodini wamechukua G4S.